Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Huyu mpuuzi na Half american ni wivu unawasukuma tu. Mambo ya Chura kukataza akinamama wasichote maji wakati hawezi kuyanywa na kuyamaliza. Vijana acheni wivu wa kijinga
Mkuu sio wivu naongea kitu real vijana tuna umia tunajikaza kisabun tuu ila moyoni tunabubujikwa na machozi
 
Haya haya naona kunazidi kuchangamka hapa ndugu watazamaji labda niwape tu muhtasari,

Jamii forums ziimekuwepo vita mbali mbali sana humu ambazo kila pande ilijivunia ubingwa ,
Ashakum si matus, walianza kula tunda kimasihara , ghafla ikaja vita ya walimu hii nayo ilipiganwa kweli kweli, hatujakaa sawa ghafla masingle maza haoooo

Wakashambuliwa kweli kweli mpaka ikabidi single mother warudishe vikosi nyuma ,amani ikadumu kwa muda mchache nchini JAMII FORUMS we bwanaa weee kumbe VIBABU VYA HOVYO vilikua na agenda yao ya siri kisha kimnya kimnya wakasogeza majeshi mbele

We bwana weee kuja kustuka mademu wa vijana ch#p zimekua kilemba vizee unaambiwa mpaka viagra vimepanda bei baada ya wastaafu hao kuapa ama zao juu ya mbususu za vijana
hawa wazee wa hovyo watanyukwa tu mpaka waache kupakua mizinga ya vijana
 
Vibabu havijiheshimu mkuu ndo hawa hawa wanafanya mkongo na viagra kuwa adimu kumbe yote haya ni kufakamia vitoto vya 2000 mkuu hii inakera.

Yeye ujana wake kusema kulikua na vizee vya hovyo

Nilichogundu hiki kizazi cha wazee wa hovyo kimekuja sasa hivi nazani nia yao ni kutukomoa tu.

Kwanza wana slogani za ajabu kutetea huu uzwazwa wao
 
Pole sana kijana, wewe unafikiri huwa wanawabaka?
Au wenyewe wanapenda kwa hiyari yao?
Maana vijana siku hizi mna vitambi na pia wengi wenu mashoga. Pia ni wvivu sehemu zote.
Kobello wewe ni kijana mwenztu ila nashangaa kwanini upo upande wa hawa wazee wa hovyo...

Una shida gani na wewe mbona una jaribu kutetea mkuu
 
Back
Top Bottom