Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #321
Kwa sababu wazee hawana heshima na watoto waoKwa nini hao mnaowaita watoto wa kike wafakamiwe na Wazee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu wazee hawana heshima na watoto waoKwa nini hao mnaowaita watoto wa kike wafakamiwe na Wazee?
Ndo hv ntakachokifanya mm subri tuu
Ila madamu akili zako unazijua mwenyewe aiseeee
Wazee wenu tukiwa tunapumzika tulieniHeshima ipi mnataka mkuu
Mpumzike mara ngapi...Wazee wenu tukiwa tunapumzika tulieni
Mtakufa pulesha mkuu...wee endelea kukamia vitoto vya 2000Uzee wenye hela ni zaidi ya ujana usakatonge
Ahahahahahhaha alafu wewe kama sio mzee wa hovyo basi hapo badae utakuja kuwa mzee wa ajabu sana aiseeee...Fundi manyumba upo? Unaona wazee wa hovyo walivyo? Hii kama ni pisi yako huko chuoni basi andika maumivu tu ng'wanawane 😁😁😁
View attachment 3028312
Hapana kijana wangu. Miaka 78 sasa nilishamalizana na hizo hekaheka kitambo sana. Mi nimenyooka kama rula aisee 😁😁😁Ahahahahahhaha alafu wewe kama sio mzee wa hovyo basi hapo badae utakuja kuwa mzee wa ajabu sana aiseeee...
Alafu ndo mambo yako haya Shimba ya Buyenze