Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Hii tabia ya kupeleka wake zenu wakakae kwenu ni hatari sana, kuna Mzee alikuwa anamkaza Mkwe wake pindi mwanae wa kiume na Mke wake wakiwa wametoka.
Kamchezo kalikomaa hadi mzee akawa hataki tena mkwewe aondoke pale nyumbani
Astakafillah daaah hii laana nayo
 
Watakuchapia tu. Acha wazee wajimwae. Wewe hangaika na wake zao tu. Wasichana ni kwa ajili ya Wazee na mishangazi ni kwa ajili yenu. Kubali matokeo
Siwezi kubali matokeo wakati wanajua kabisa wanatuonea
 
Mapenzi bhana ..... pumbafu kabisa.....

Njia pekee ya kuishi kwa amani ni kumpuuza mpenzi wako wewe sio ufutio urekebishe tabia zake

Fanya unacho kitaka enjoy Kisha endelea na mambo yako yake mwachie mwenyewe
Hakuna binadamu wa kuweza kuishi kwa kupuuzia kila kitu mkuu never ever
 
Back
Top Bottom