Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Siyo mama yake tu! Anakula mama yake na anakula dada yake { Mama na Baba mmoja}
Khaaa mkuu hii mbona ni laana sasa..hii ni topic nyingine itabidi unipe kisa kamili aiseee khaaaa

Inakuaje kuaje hii aiseee
 
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.

Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.

Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.

Kuna umri ukifika jiheshimu.

View attachment 3009782
Waache wale vinono hahaha 🤣
 
Kwa nini hao mnaowaita watoto wa kike wafakamiwe na Wazee?
 
Dr matola wewe siku hizi unashida.
Nina uhakika simu kashika mtu mwingine sio wewe.

Sisi hao mashangazi ni kitu kisicho shangaza ila sasa linapikuja suala la kuweka compitation na kijana ambaye unajua kabisa yupo anajitafuta hiyo sio fair kabisa.

Dr niseme tu inabidi ifikie wakati mjiheshimu la si hivyo tutakuja kufanya jambo la ajabu juu yenu

Vijana wengi wanajikaza kisabuni ila roho inawauma.

Mi leo nawasemea
Jambo gan utafanya kijana,usipojitambua au kutambua majukumu yako kama mwanaume utatombewa mpaka akili ikae sawa,acha kutishatisha watu huku ndani
 
awa wazee kuna mda tutawapiga pipe..
Mi nimepanga tamiliki pipe kwa ajili ya mahasidi kama hawa.

Una kuta mzee anakamia show kabisa na mikongo wanapaka.

Wazee mna nini nyie.
Mpaka ufikie hatua ya kumiliki bastola hutakuja na malalamiko kama haya humu ndani na wewe utakua unakula mema ya nchi kama hawa wazee unaowalalamikia humu jukwaani kijana
 
Jambo gan utafanya kijana,usipojitambua au kutambua majukumu yako kama mwanaume utatombewa mpaka akili ikae sawa,acha kutishatisha watu huku ndani
Tumia tafsida mkuu...
Mbona kama na wewe ni mzee wa hovyo.

Ukweli ndo huo tuachieni hawa malaika wetu nyie mlichezea enzi zenu vibaya
 
awa wazee kuna mda tutawapiga pipe..

Mpaka ufikie hatua ya kumiliki bastola hutakuja na malalamiko kama haya humu ndani na wewe utakua unakula mema ya nchi kama hawa wazee unaowalalamikia humu jukwaani kijana
Ahahahah alafu unavowatetea sasa.
Ngoja siku wakulie malaika wako ndo utajua ujui shekhe wangu
 
Vipi "Fundi" wamekugongea?
Wa kale walisema, "Fimbo ya mbali haiui Nyoka" Pole sana🙆🙆
Ndio DPN nilicho fanyiwa kwa huyu malaika wangu ni ngumu kuamini ila daah ngoja kuna siku tuu.

Itajulikana mkuu
 
Back
Top Bottom