Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Hii tabia ya kupeleka wake zenu wakakae kwenu ni hatari sana, kuna Mzee alikuwa anamkaza Mkwe wake pindi mwanae wa kiume na Mke wake wakiwa wametoka.
Kamchezo kalikomaa hadi mzee akawa hataki tena mkwewe aondoke pale nyumbani
Wazee kama hawa ndio wa kukamata na kuwapiga pipe
 
😀😀😃😃😃😃wamekutafunia ,sasa unalaumu wazee wa watu bure wakati demu wako alikua anasifia kitambi kule .Pole
Hapana wanatumia pesa kama kigezo cha kutafuna na kuwala rika letu...
Kiufupi hiyo kiserikali haitakiwi kabisa 🤴
 
Ni wazee ila ni mwanaume mwenye hisia kama wewe kijana, kumbuka fimbo ya mbali haiuwi nyoka. Jitahidi tu usikae na mke wako mbali.
Mkuu hata ukiwa nae karibu.
Wazee wa hovyo hujawahi tu kumbana nao.

Wana mambo ya ajabu na ya aibu
 
Vibinti vya siku hizi vikashaona pesa akili zinahama unadhani ukivishauri vinakuelewa
Hapana na kwanini wao watangulize pesa mbele.

Maana binadamu kuona pesa na kuchanganyikiwa hiyo ni hali ya nature
 
Pole sana mkuu,ila mi naona wakulaumiwa ni huyo mwanamke wako ambaye hajitambui na haridhiki na unachompatia.kiufupi hakuheshimu.
Mimi nafikiri mwanamke akiwa anajitambua na kuwa na misimamo huyo mzee wa hivyo hawezi kumpata. Lakini kama mwanamke ni maharage ya Mbeya basi ni rahisi sana kukamatika kwa mzee wa hovyo[emoji23].
Hata wazee pia hawajiheshumu..
Mkuu utambui kua mwanamke ni dhaifu wewe au ...!
 
Back
Top Bottom