Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Vibabu havijiheshimu mkuu ndo hawa hawa wanafanya mkongo na viagra kuwa adimu kumbe yote haya ni kufakamia vitoto vya 2000 mkuu hii inakera.

Yeye ujana wake kusema kulikua na vizee vya hovyo

Nilichogundu hiki kizazi cha wazee wa hovyo kimekuja sasa hivi nazani nia yao ni kutukomoa tu.

Kwanza wana slogani za ajabu kutetea huu uzwazwa wao
Tena usipende mazoea nao watakufumua na wewe.
 
Mkuu sio wivu naongea kitu real vijana tuna umia tunajikaza kisabun tuu ila moyoni tunabubujikwa na machozi
Acha kuumizwa na kitu ambacho si chako. K ni yao na wao ndiyo wana haki ya kuigawa kwa kikongwe, au mtoto. Je, unawasaidia kuziosha? Acha wivu
 
Nahusikaje hapa mkuu, ile ni taarifa niliweka kama ilivyo, na ni kwa nia njema kabisa ya kufikisha ujumbe.

Kila mtu ashinde mechi zake.
Jana ulileta Uzi wa kipuuzi wa mwanafunzi wa Mwalimu Nyerere College. Najua wewe humu JF huwa unataka kuwa na kila mwanamke. Achana na huo utoto. Mtu akimpa mzee K ni yake, unasumbuka na nini?
 
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.

Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.

Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.

Kuna umri ukifika jiheshimu.

View attachment 3009782
Cha ajabu zaidi kuna wazee huku wanakula watoto wao wa kuzaa, wamama pia wanaliwa na watoto wao wa kiume, so painful.
 
Back
Top Bottom