Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Vijna wa siku hizi si mmeamua kudeal na mishangazi iweje muanze kutulalamikia wazee kwenye hili? Hel hamna mnataka kumiliki watoto wazuri nyie mtawamiliki kwa kupiga nao picha tu sie tunapiga vya ndani
Pia na wewe ni mzee wa hovyo humu jf..
Nyie alafu msichojua mimi nawa mark tuu hapa pembeni...

Siku matakapo ona mna BAN za nguvu msilalamike maana hii kuna sehemu nafikisha.
Hatulei wazee hivyo hapa
 
Unakuta mzee ananyemelea kipusa cha kijana wa watu ili aruke nacho. Binti yuko sawa na mabinti zake lakini zee la nyeti linasarandia lile. Mi huwa nawatia jambajamba wazee wenye tabia mbaya za namna hii. Kama vipi mkono unapigwa tu
We mjinga yaan umefuga malaya badala ya kupambana nae unahangaika na mzee wa watu
Kama huyo malaya wako alimdanganya mzee kuwa hana mume au mumewe alishakufa?

Acha ulevi wa mapenzi
 
We mjinga yaan umefuga malaya badala ya kupambana nae unahangaika na mzee wa watu
Kama huyo malaya wako alimdanganya mzee kuwa hana mume au mumewe alishakufa?

Acha ulevi wa mapenzi
Usimuite mtu wangu malaya..
Mimi sio mlevi wa mapenzi..

Mkuu jiheshimu nazani na wewe ni miongoni mwa wazee wa hovyo hvo we tulia leo dawa ikuingie
 
Pia na wewe ni mzee wa hovyo humu jf..
Nyie alafu msichojua mimi nawa mark tuu hapa pembeni...

Siku matakapo ona mna BAN za nguvu msilalamike maana hii kuna sehemu nafikisha.
Hatulei wazee hivyo hapa
Wanawake wenu ndio wa hovyo maana wanataka vitu vizuri na pesa na nyie vijana wao hamna uwezo wa kuwapatia sasa wanaanza kujilengesha kwetu kwanini tusipite nao? Halafu msijali sisi hatupigi sana ni round moja tu haturudii
 
We mjinga yaan umefuga malaya badala ya kupambana nae unahangaika na mzee wa watu
Kama huyo malaya wako alimdanganya mzee kuwa hana mume au mumewe alishakufa?

Acha ulevi wa mapenzi
Ukute demu alishasema jamaa kafa kitaambo[emoji23].. msukule ndo unaenda pigana na wazee[emoji23]
 
Wanaume wote bila kujali umri wetu by nature tunapenda wasichana 'wabichi', hakuna anayetamanani mwanamke mzee. Achana na mambo ya rika , mwennye nguvu na uwezo na ale...
Unakera mkuu japo ulianza vizuri tuu..
Ila unapoelekea unanikera sasa
 
Wanawake wenu ndio wa hovyo maana wanataka vitu vizuri na pesa na nyie vijana wao hamna uwezo wa kuwapatia sasa wanaanza kujilengesha kwetu kwanini tusipite nao? Halafu msijali sisi hatupigi sana ni round moja tu haturudii
Ifike kipindi mjiheshimu wazee wa hovyo
Sasa wewe kama anajirengesha na wewe unamkubali wa nini kemea mapepo ya ngono hayo
 
Ukute demu alishasema jamaa kafa kitaambo[emoji23].. msukule ndo unaenda pigana na wazee[emoji23]
Daaah wakuu mbona mnashambulia hivi kwani kuna kosa nimewafanyia..

Manaelewa hali iliyopo lakini 🥺🥺
 
Inaonekana umepigwa na kitu kizito sana mkuu pole sana ndio maana tunawasisitiza NDOA NI UTAPELU KATAA NDOA lakini vijana hamuelewi
Daaah mkuu nachukua pole yako japo ya kinafiki..
Ila haya hayamkuti nyani
 
Unakera mkuu japo ulianza vizuri tuu..
Ila unapoelekea unanikera sasa
Ni kweli mkuu. Sisi ni wananaume na tunatamani wasichana wabichi. Hiyo ipo tangu enzi na enzi na itabaki hivyohivo kama nature ya mwanamme. Hata kwene maandiko, unafikiri mfalme Suleiman aliokuwa na wake 700 alikuwa anao maajuza? Alikuwa anapiga kama Mfalme Muswati tu, watoto wabichi. mimi nasema tu kweli nature ya wanaume. Wote tunapenda wanawake wabichi....ila tunafuata upepo uliowekwa na jamaa tusionekane wa ajabu.
 
Back
Top Bottom