Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Pole, unabweka hadi umesahau unachoandika.

Tunajiheshimu sana. Shida wanatuomba sana hela. Tukiwakopesha hawalipi badala yake wanajichekesha chekesha mbele yetu na kusema waume zao hawatuma hela ili warejeshe. Kifuatacho, tukitupa neno tu, hao washavua hadi nguo za ndani. Tufanyeje?

Tunzeni wake zenu kwa mahitaji ya miili, mioyo na akili. Unahama nyumbani miezi sita hujatuma hata mia wala kurudi. Unategemea nini?

Wengine mpo mazingira ya nyumbani na wake zenu, lakini hamlali na wake zenu kisa mko busy na biashara kumbe michepuko tu. Wake zenu waliwe na nani kama siyo sisi na wahuni wenzenu?

Jifunzeni kuishi nao kwa akili siyo kupiga kelele.
Hii imeendaaa
 
We dem mmoja tu unalia usiku kucha, ulibahatisha nn...
Ndio unakomaa hivyo wakifika watano, unakuwa ngangari
Mkuu unajua mi nimetoka nae wapi..
Mkuu usiongee tu ujui how nime invest kwa mtu alafu anatokea mzee mmoja haeleweki kutokea bodi ya wapi huko anaanza kuweka vigezo vya ajabu ili amle duu wangu 🥺🥺
 
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.

Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.

Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.

Kuna umri ukifika jiheshimu.

View attachment 3009782
Vijana wenyewe wako busy na mijimama na mijishangazi kutafuta unafuu wa maisha. Acha na sie tuhangaike na 2000s babies
 
Mkuu unajua mi nimetoka nae wapi..
Mkuu usiongee tu ujui how nime invest kwa mtu alafu anatokea mzee mmoja haeleweki kutokea bodi ya wapi huko anaanza kuweka vigezo vya ajabu ili amle duu wangu 🥺🥺
Huna hela
Hupigi show fresh
Unalia lia sana
Inaweza kuwa sababu ya kuachwa.
Be a MAN
 
Back
Top Bottom