Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Tunakamataje fursa na tupo na msongo wa mawazo unaosababishwa na wazee hawa wachche ambao ujana wao walishindwa kuponda raha
Hahahahaha enzi zetu tumekula sana bata bila stress
Nywele afro kiatu raizon suruali bugaloo juu pima chini kadilia
Enzi hizo Congo Kinshasa iko on hit wapi dally kimoko
Wapi lokassa ya mbongo
Nene tchakou
 
Ahahahahah au sio mkuu..
Kwahiyo umeona uniringishie sio.

Mkuu hata sisi hilo bata tunakula sana tu sema daah mnatubania kinoma noma an
 
Kijana enzi hizo tunakata mauno ya kianaume leo hii vijana unavikuta vinacheza mziki vinabinua tu matako mara boxer iko nje halafu chafu kweli vingine mpaka Suez canal iko wazi unajiuliza vijana mmepatwa na nini?
 
Mkuu unavuka mipaka sasa .
Mimi sitojibu ila kuna vijana hapa watakuvamia ndo utajua how we are mkuu....

Onyo tu
 
Huyu mpuuzi na Half american ni wivu unawasukuma tu. Mambo ya Chura kukataza akinamama wasichote maji wakati hawezi kuyanywa na kuyamaliza. Vijana acheni wivu wa kijinga
Nahusikaje hapa mkuu, ile ni taarifa niliweka kama ilivyo, na ni kwa nia njema kabisa ya kufikisha ujumbe.

Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.

Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.

Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.

Kuna umri ukifika jiheshimu.

View attachment 3009782
Pole kwa yaliyokukuta
 
Ila hii ni kweli,nakumbuka nikiwa chuo nilikua na Mwanamke wangu nikafuma msg Mzee anamtongoza

Hali ni mbaya
 
Back
Top Bottom