Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Dr Matola PhD
Hebu njoo tuhakiki hizi tuhuma za vijana
Hakuna tuhuma zozote ni inferiolity complex tu zinawasumbuwa.

Unajuwa humu kwenye mapub wakati yeye kaagiza kisungura unakuta wewe una Grants yako na maAnko unawapa zile six pack zao za Whindhoek na Desperado, sasa hapo kijana anaona hatendewi haki kumbe mfumo ndio uko hivyo kuna umri wa kujitafuta.
 
Ahahaha ila dr ngoja niishie hapa.
Ila dr jaribu kutoa shule kwa hawa wazee wana kera bana.

Competition haipo hivo mkuu nyie mnakomoa
 
Hakuna tuhuma zozote ni inferiolity complex tu zinawasumbuwa.

Unajuwa humu kwenye mapub wakati yeye kaagiza kisungura unakuta wewe una Grants yako na maAnko unawapa zile six pack zao za Whindhoek na Desperado, sasa hapo kijana anaona hatendewi haki kumbe mfumo ndio uko hivyo kuna umri wa kujitafuta.
Hitimisho ni vijana wapunguze makasiriko
 
Mkuu tutaacha makasiriko baada ya nyie kutuachia wadada wetu.

Mnakera tena mnakera sana hii hoja nahakikisha taofikisha sehmu husika na hatua zitachukuliwa
 
Haha mkuu mimi ni mtu mzima nina binti mwaka wa mwisho chuo ingawa nilimpata nikiwa kijana sana.
Na pia ni sugar daddy, nahonga mpaka IST.
Astakafillah.... Sitaki kusikia na wewe ni mzee wako wa hovyo.

Sitaki kusikia hilo kutoka kwako mkuu maana hauendani ..
 
Mkuu tutaacha makasiriko baada ya nyie kutuachia wadada wetu.

Mnakera tena mnakera sana hii hoja nahakikisha taofikisha sehmu husika na hatua zitachukuliwa
Sasa mkitaka vita ya 3 ya Dunia
Endeleeni kutuchokonoa wazee, sisi tunajua ni angle ipi tutawashika
Si wajua wazi macho yaliyoona milima hayatishiki na mabonde
 
Kobello ni mzee wa pili ambaye yeye kaungana na Dr Matola PhD
Ila yeye yupo mpaka level ya usugar dady .. hovyo kabisa humu ndani.

Nyie mi nikipata hiko cheo kinachotakiwa humu jf ni kuwapa BAN za miaka tano tano
 
Sasa mkitaka vita ya 3 ya Dunia
Endeleeni kutuchokonoa wazee, sisi tunajua ni angle ipi tutawashika
Si wajua wazi macho yaliyoona milima hayatishiki na mabonde
Khaaa mkuu sasa tutajua we subiri kuna kikosi kinaandaliwa mtaani huko ku deal na watu kama nyie.

Time will tell us
 
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.

Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.

Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.

Kuna umri ukifika jiheshimu.

View attachment 3009782
Siyo kosa lao ni nature inayotokana na uumbaji
 
Back
Top Bottom