Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Vijana wenyewe wako busy na mijimama na mijishangazi kutafuta unafuu wa maisha. Acha na sie tuhangaike na 2000s babies
Mkuu tusije onana wabaya na kulaumia sawa lakini...

Maana ifikie kipindi muwe na mipaka
 
Kuna mzee mmoja alikuwa anamfukuzia baby mama wangu kipindi hicho na yule mzee alikuwa na binti yake pisi tu ila kutokana na mazinigira sikuwahi mfukuzia mana mtaa mmoja. Siku nilokuja gundua yule mzee anamfukuzia baby mama wangu ndipo nilipoanza mashambulizi kwa binti yake nilipambana sana mpaka nkamla na mzee akaja gundua aisee yule mzee mpaka kesho ananichukia snaa though mwanzo alikuwa anaishi kinafki akiniona salam nying utan huku akijua anafukuzia baby mama wangu.

Kama hauna kifua chakuyavumilia maumivu usiyatafute maumivu, muosha uoshwa.
 
Saaafi ndo inavotakiwa show show hakuna kulaza damu gapa.
.wanatuzoea vibaya hawa wazee wa hovyo
 
... Vijana wa hovyo kila siku kulalamika kuhusu wazee kuhonga, ... kubalini tu pia msichana anaweza akampenda mwanaume yeyeto anayehisi atampa 'WATOTO ANAOTAKA' bila kujali umri!
... kwahiyo ninapochaguliwa mimi ninayekuzidi umri usilalamikie RUSHWA peke yake angalia na kioo!
😅
 
Sio kuhonga ila ni ufataki wa hali ya juu.. kwanini aihinge mishangazi huko..

Kutwa kutaka compitation na vijana wenyewe kipindi hicho walikua wajafanya nn ..?
 
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.

Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.

Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.

Kuna umri ukifika jiheshimu.

View attachment 3009782
Fact
 
Vijna wa siku hizi si mmeamua kudeal na mishangazi iweje muanze kutulalamikia wazee kwenye hili? Hel hamna mnataka kumiliki watoto wazuri nyie mtawamiliki kwa kupiga nao picha tu sie tunapiga vya ndani
 
Back
Top Bottom