Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Fundi manyumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
3,799
Reaction score
8,063
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.

Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.

Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.

Kuna umri ukifika jiheshimu.

 
Nlisoma story kule X kwa Elon Musk , jamaa alikuwa anampoza rafiki yake anataka kujinyonga kisa kamfumania mkewe akiliwa na baba yake mzazi kabisa.
Mkuu wazee hawa unajua imefikia hatua wanataka kufia vifuani mwa watoto wao .

Mi ni bora nikafungwe tuu ila sio kukalia kimya hili suala..

Yamenifika pabaya mkuu nimefanyiwa mapicha picha ya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…