Dahh wazee mnanichanganya sana anyway ila safi tu.Hiyo uliyo toa wewe kama upo kwenye hali ya kawaida na gari ikasoma cold,hilo ni tatizo ,ila kama upo sehemu ya baridi kali na mshale ukashuka kuelekea kwenye cold hilo si tatizo.huwa haukai kwenye cold kabisa ila unakuwa upo below normal
Sio uwongo inapendeza mnoYangu interior ni biege kanavutia kiasi chake au nasema uongo ndugu zangu [emoji28][emoji28]
Dar haina joto la kuchemsha gari,kama ingekuwa na joto hilo ungeona watu wana tembea na mafeni barabarani au ac kabisa au pangeshindikana kabisa kuishi."mshale wa temperature hushuka pale unapoingia sehemu ya baridi"
Kama hcho ulichoandika ni sahh basi tunategemea ukitoka makete kuja dar basi mshale utapanda juu usome "HOT" mana dar kuna joto si ndio?
Hivi wewe ukikaa sehemu ya baridi kali mwili wako uta remain 37c.? Nini hupelekea mtu kupanda joto au kushuka joto,Nini hutokea mtu kuanza kutetemeka kutokana na baridi , au nini hutokea mtu kuanza kutokwa jasho ,ni ugonjwa pekee au?Natoa elimu ya bure kama hutaki kalaghabaho.
Gari Ina specific operating temperature ambayo mara nyingi ni 90c. Hii ni joto la engine aka coolant temperature. Ili engine ifanye kazi vizuri temperature hii inatakiwa iwe hivyo hivyo aidha uko Dubai au Siberia. Waliotengeneza gari wanajua kuna hali za hewa tofauti hivyo wameweka system ya kuhakikisha temperature hio ina remain constant. Ndio maana kuna radiator,water pump,thermostat,fan
Ukiona temp ya engine yako inabadilika kutokana na mazingira jua kuna shida.
Hata mwili wako uns operating temp 37c ikishuka sana au ikipanda sana UNAKUFA.
Mikumi.View attachment 2494400
Haya wazee wa road trip naombeni location.
Endelea na unachojua mkuu.Hivi wewe ukikaa sehemu ya baridi kali mwili wako uta remain 37c.? Nini hupelekea mtu kupanda joto au kushuka joto,Nini hutokea mtu kuanza kutetemeka kutokana na baridi , au nini hutokea mtu kuanza kutokwa jasho ,ni ugonjwa pekee au?
Kwa nini mwili wake usi ji control wenyewe kuzuia hali hiyo.
Chombo chochote huweza kuathiliwa utendaji kazi wake kutokana na hitilafu au mazingira .
Mfano chukua gari uiweke kwenye handaki usiruhusu hewa ipite, kisha ipige lesi mwanzo mwisho ,hata kama isipo tembea uone kama haitachemsha.....
Harafu uchukue gari uiweke cold room,uipige lesi mwanzo mwisho uone kama itachemsha,Never
Mazingira yanachangia kupanda au kushuka kwa temperature,sio ubovu pekee.
Tupo pamoja mkuu ucjal.Endelea na unachojua mkuu.
Si kweli, alichoandika mdau (RRONDO) kina mantiki sana. Kwa maelezo yako inaonesha kuwa gari yako uetoa thermostat ambalo ni hatari coz engine ya gari lako mda wote lina run rich (kitu ambacho kitachangia ulaji mwingi wa mafuta na kuua engine yako mapema).Hivi wewe ukikaa sehemu ya baridi kali mwili wako uta remain 37c.? Nini hupelekea mtu kupanda joto au kushuka joto,Nini hutokea mtu kuanza kutetemeka kutokana na baridi , au nini hutokea mtu kuanza kutokwa jasho ,ni ugonjwa pekee au?
Kwa nini mwili wake usi ji control wenyewe kuzuia hali hiyo.
Chombo chochote huweza kuathiliwa utendaji kazi wake kutokana na hitilafu au mazingira .
Mfano chukua gari uiweke kwenye handaki usiruhusu hewa ipite, kisha ipige lesi mwanzo mwisho ,hata kama isipo tembea uone kama haitachemsha.....
Harafu uchukue gari uiweke cold room,uipige lesi mwanzo mwisho uone kama itachemsha,Never
Mazingira yanachangia kupanda au kushuka kwa temperature,sio ubovu pekee.
Aisee!Hiyo uliyo toa wewe kama upo kwenye hali ya kawaida na gari ikasoma cold,hilo ni tatizo ,ila kama upo sehemu ya baridi kali na mshale ukashuka kuelekea kwenye cold hilo si tatizo.huwa haukai kwenye cold kabisa ila unakuwa upo below normal
Nimeshakua mzoefu mkuu
Lakini mkuu ikipanda mlima temperature si inatakiwa ipande ikipata mteremko ndio ishuke
Aiseee!Inyala hapo kimeumana meru tanker na coaster super rojaView attachment 2492360
Mikumi hapo
Premio 2008Wakuu ijumaa asubuh nasafari ya kwenda handeni Tanga, njia ipi nipite? Natokea kahama, ipi nzuri ipi short cut au ushauri pls gari gari ni sedani premio new model ya 2008
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu premio ya 2008 imaitwaje nisaidie yaweza kua nimekosea ilq mi najua ni maarufu kwa jina hilo maana kila mwaka inatoleo lakePremio 2008
Ni new model[emoji848]
Duh[emoji849]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Hii ifakara hiiView attachment 2495714
Nipatieni na hii