Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mi ilikuwa Jumamosi ile tena ni boxing day njia zote nyeupe ila pale sasa ni noma na nusu 🤣🤣🤣 nilivyoona wenzangu wanafungua nozzle namimi nikakaza mguu kidogo... Kuja kusanuka wazee waleee...
Na bado hujalipa mpaka leo? 😳😳😳😳😳
 
Pole mkuu ila hii sio sheria, hawaruhusiwi kuchukua chochote kutoka kwako, kuanzia driving license au car keys, wao wakuandikie fine, utagongana nayo mwisho wa mwezi kwenye address yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…