Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mi ilikuwa Jumamosi ile tena ni boxing day njia zote nyeupe ila pale sasa ni noma na nusu 🤣🤣🤣 nilivyoona wenzangu wanafungua nozzle namimi nikakaza mguu kidogo... Kuja kusanuka wazee waleee...
Na bado hujalipa mpaka leo? 😳😳😳😳😳
 
Hahahah nilishadakwa njia ya Ubungo CNG, walikuwa na mkuu wa kituo kwenye coaster kabisa 🤣🤣🤣 sitasahau ile siku nilipiga simu hadi nikachoka.

Mwamba kachukua funguo na kashanichorea. Chuma haina bima mzee ananiambia hadi ulipe bima lasivyo chombo inaenda kituoni.

Ilibidi nimpe wife ugonjwa wa kuzidiwa ndio akaniachia 😀
Pole mkuu ila hii sio sheria, hawaruhusiwi kuchukua chochote kutoka kwako, kuanzia driving license au car keys, wao wakuandikie fine, utagongana nayo mwisho wa mwezi kwenye address yako
 
Back
Top Bottom