Hivi wewe ukikaa sehemu ya baridi kali mwili wako uta remain 37c.? Nini hupelekea mtu kupanda joto au kushuka joto,Nini hutokea mtu kuanza kutetemeka kutokana na baridi , au nini hutokea mtu kuanza kutokwa jasho ,ni ugonjwa pekee au?
Kwa nini mwili wake usi ji control wenyewe kuzuia hali hiyo.
Chombo chochote huweza kuathiliwa utendaji kazi wake kutokana na hitilafu au mazingira .
Mfano chukua gari uiweke kwenye handaki usiruhusu hewa ipite, kisha ipige lesi mwanzo mwisho ,hata kama isipo tembea uone kama haitachemsha.....
Harafu uchukue gari uiweke cold room,uipige lesi mwanzo mwisho uone kama itachemsha,Never
Mazingira yanachangia kupanda au kushuka kwa temperature,sio ubovu pekee.