Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivi wewe ukikaa sehemu ya baridi kali mwili wako uta remain 37c.? Nini hupelekea mtu kupanda joto au kushuka joto,Nini hutokea mtu kuanza kutetemeka kutokana na baridi , au nini hutokea mtu kuanza kutokwa jasho ,ni ugonjwa pekee au?
Kwa nini mwili wake usi ji control wenyewe kuzuia hali hiyo.

Chombo chochote huweza kuathiliwa utendaji kazi wake kutokana na hitilafu au mazingira .

Mfano chukua gari uiweke kwenye handaki usiruhusu hewa ipite, kisha ipige lesi mwanzo mwisho ,hata kama isipo tembea uone kama haitachemsha.....

Harafu uchukue gari uiweke cold room,uipige lesi mwanzo mwisho uone kama itachemsha,Never

Mazingira yanachangia kupanda au kushuka kwa temperature,sio ubovu pekee.
Kwani mtu akiwa Makete joto la mwili litashuka hata 30°c? Ngoja nisubiri wajuzi
 
Wangapi mna huu ujasiri?
20230224_152527.jpg
 
Back
Top Bottom