privacy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 1,446
- 1,281
#Subie #Subenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kumbe hilo li-dashboard linajulikana @privacy
Kesho nalianzisha Kili marathon. ISO M.CodD nimekosa abiria wa kukupa kampani. Niko na wa kutosha gari yangu.
Kwani mtu akiwa Makete joto la mwili litashuka hata 30°c? Ngoja nisubiri wajuziHivi wewe ukikaa sehemu ya baridi kali mwili wako uta remain 37c.? Nini hupelekea mtu kupanda joto au kushuka joto,Nini hutokea mtu kuanza kutetemeka kutokana na baridi , au nini hutokea mtu kuanza kutokwa jasho ,ni ugonjwa pekee au?
Kwa nini mwili wake usi ji control wenyewe kuzuia hali hiyo.
Chombo chochote huweza kuathiliwa utendaji kazi wake kutokana na hitilafu au mazingira .
Mfano chukua gari uiweke kwenye handaki usiruhusu hewa ipite, kisha ipige lesi mwanzo mwisho ,hata kama isipo tembea uone kama haitachemsha.....
Harafu uchukue gari uiweke cold room,uipige lesi mwanzo mwisho uone kama itachemsha,Never
Mazingira yanachangia kupanda au kushuka kwa temperature,sio ubovu pekee.
11 jioni
Nitapitia watu here and there let's say Kibo complex
Sawa kuwa online mida hiyo, will qdjust accordinglyRstiba imebadilka saa 10 kibo complex
Not trueWangapi mna huu ujasiri?View attachment 2528470
Are you on time?Rstiba imebadilka saa 10 kibo complex
Nimejaribu kufuata schedule yako ila niko 40 minutes behind.Yeah napita kibo