Ahaaa sawa kabisaKwa muda nilioanza safari ni uwo ila badaa ya kutoka magomeni nilivyofika kimara kibo niliingia masijd kupata Swala ya Alfajir baada ya hapo ndio nikaanza safari, kwahiyo nimeanzia kuhesabu ule muda nilioondokea nyumbani na sio nilioanza safari baada ya kumaliza kuswali.
....upuuzi upo Tanzania tu, kwingineko max speed ni 120km/hrHayo maeneo ni kuweka underground passage tu. Unatia fence kama ya kimara mwisho au buguruni kisha unawalazimisha kupita juu darajani. Kuweka 50 kwenye highway ni upuuzi ambao uko Africa tu.
Pamoja sana. Vipo fuel consumption. Ilikua ya cc ngapi? Changamoto na tips za road trip safari ndefu ni zipi ulizokutana nazo?Jana nmepiga road trip dar to mbeya na mnyama crown athlete, itoshe kusema crown ni mnyama mkali. Kipande cha makambako mpaka wanging'ombe, ilembula hadi igawa check point nilikuwa nafuta kisahani every now and then. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kifanya hivyo.
Mambo yakikaa vizuri mbeleni nitatafuta sedan moja v6 ya kutambia barabarani na mimi. Kwa sasa nina kilitime hio naiendesha kifaza sana, haitaki mbwembwe.
Unatumia gari gani na ina engine gani mkuu?Nina likizo mwezi wa 7 au wa 8 nataka road trip ya siku 5-6 (wiki moja).
Budget imenibana, Pamoja na mafuta (ukitoa service ya gari kabla sijatoka) iwe kati ya 750-900k hivi.
Sasa nina route mbili, moja ya kusini na kati na nyingine ya pwani na Arusha Arusha hivi.
Route ya kwanza:
View attachment 2610769
Hiyo Naanzia Dar to Kilwa Masoko. Nalala Usiku wa kwanza. Kesho yake natoka Kilwa naenda Lindi (Hapa Silali), kisha naenda NDANDA (Naweza kulala au kutolala).Siku ya tatu naenda SONGEA (Nalala) Kisha Makambako na Iringa silali naweza kulala Moro au nikavuka Dar. Jumla approximately kilometa 2000.
Route ya Pili.
View attachment 2610770
Hii ni nyepesi. Natoka Dar to Tanga. Nalala. Najua ni karibu ila nataka niende AMBONI CAVES na kama muda utaruhusu nitaenda MAGOROTO (bila gari nitaiacha Tanga).
Nikitoka Tanga nitaenda LUSHOTO hapo nitalala. Kesho yake mchana nitaenda MOSHI na ARUSHA. Kisha nitarudi Dodoma then Moro Dar.
Hii jumla kilometa 1700 hivi.
Sehemu nilizoweka herufi kubwa sujawahi kwenda au nilienda zamani sana zaidi ya 6 years+ kwahiyo nategemea kuzurura sana.
Vipi nime design vizuri according to my budget?
Nitajitahidi kulala sehemu affordable ili kuendana na budget, nitakua mwenyewe, nikifika mkoa usika muda mwingi nitakua nazurura bila gari ili nione mji na kusave wese pia.
Ushauri kwa wazoefu.
Naam. Nitakua na Toyota Camry, 2008 cc1998.Unatumia gari gani na ina engine gani mkuu?
Mnyama kabisa huyu.Naam. Nitakua na Toyota Camry, 2008 cc1998.
Vp mkuu nikupe kampani ili kuepusha kusinzia sinzia njiani!!Nina likizo mwezi wa 7 au wa 8 nataka road trip ya siku 5-6 (wiki moja).
Budget imenibana, Pamoja na mafuta (ukitoa service ya gari kabla sijatoka) iwe kati ya 750-900k hivi.
Sasa nina route mbili, moja ya kusini na kati na nyingine ya pwani na Arusha Arusha hivi.
Route ya kwanza:
View attachment 2610769
Hiyo Naanzia Dar to Kilwa Masoko. Nalala Usiku wa kwanza. Kesho yake natoka Kilwa naenda Lindi (Hapa Silali), kisha naenda NDANDA (Naweza kulala au kutolala).Siku ya tatu naenda SONGEA (Nalala) Kisha Makambako na Iringa silali naweza kulala Moro au nikavuka Dar. Jumla approximately kilometa 2000.
Route ya Pili.
View attachment 2610770
Hii ni nyepesi. Natoka Dar to Tanga. Nalala. Najua ni karibu ila nataka niende AMBONI CAVES na kama muda utaruhusu nitaenda MAGOROTO (bila gari nitaiacha Tanga).
Nikitoka Tanga nitaenda LUSHOTO hapo nitalala. Kesho yake mchana nitaenda MOSHI na ARUSHA. Kisha nitarudi Dodoma then Moro Dar.
Hii jumla kilometa 1700 hivi.
Sehemu nilizoweka herufi kubwa sujawahi kwenda au nilienda zamani sana zaidi ya 6 years+ kwahiyo nategemea kuzurura sana.
Vipi nime design vizuri according to my budget?
Nitajitahidi kulala sehemu affordable ili kuendana na budget, nitakua mwenyewe, nikifika mkoa usika muda mwingi nitakua nazurura bila gari ili nione mji na kusave wese pia.
Ushauri kwa wazoefu.
Mbona kama gari na hizo route kama unakionea tu mkuu.Naam. Nitakua na Toyota Camry, 2008 cc1998.
Kivipi mkuu? Ground clearance, Size ya engine, au?Mbona kama gari na hizo route kama unakionea tu mkuu.
Gari ilikua ni crown athlete cc 2500.Pamoja sana. Vipo fuel consumption. Ilikua ya cc ngapi? Changamoto na tips za road trip safari ndefu ni zipi ulizokutana nazo?
Umetisha mzee.Gari ilikua ni crown athlete cc 2500.
Dar tulipiga full tank lita 70. Tukaamsha popo hadi moro mjini tukapoa F2 florida kama 1hr. Trip ikasoma 176km (from kimara baruti ndo niliset trip 0). Moro nikalamba vichwa viwili nikarudi tena sheli kurudishia full tank, zikaingia 15ltrs (average 11km per litre).
From moro nikaamsha popo tena hadi iringa mjini, tukazama sheli moja ipo kushoto mbele ya ipogolo. Tukapata kahawa na bites. Pale nikaongeza wese la 50k, almost 17ltrs.
From iringa nikaamsha popo hadi mbeya soweto, trip ikasoma 816km, na fuel gauge ikawa below half tank. So kwa makadirio tulitumia almost 75 ltrs.
Changamoto
-kukosa uzoefu wa safari za mara kwa mara, especially za usiku. Kuna wakati IT ana mazda verissa au toyota allion ila anakufua vizuri tu na crown yako sababu ya kutoijua vizuri barabara.
- changamoto ya pili, katika abiria wale wawili tuliopakia, mmojawapo alikua msumbufu sana. Tulisimama mara 3 njiani ili avute sigara kutoa alosto, pia alikua anataka nifukuzane na IT ili awahi anapoenda, next time sipakii abiria nimejifunza.
Tips
-Mchana nilipumzika vya kutosha, usiku sikuchoka sana. Pia kazi zangu ni za shift yani day and night so nina uzoefu mkubwa sana wa kukesha hivyo kutoboa usiku mzima ilikua rahisi.
-najitahidi kuwa active kwa kucheza na taa mara kwa mara, beam na full lights, linafanya macho yasipate fatigue hivyo unakua active.
-nilikunywa sana maji, nilifungua vioo full upepo ndani na miziki kama yote ili mradi niwe un comfortable nisilale.
Jamaa anakupangia kabisa ufukuzane ili yeye awahi anapoenda. [emoji23][emoji23][emoji23]Gari ilikua ni crown athlete cc 2500.

Hapo hata mafuta sio kichomi, hamna kuwaza sana mkuu.Naam. Nitakua na Toyota Camry, 2008 cc1998.
[emoji23][emoji23] alikosa ustaarabu. Pia kufukuzana usiku ni hatari hususani ukiwa sio dereva mzoefu. Kauli mbiu yangu ilikua usalama kwanza, mbeya haihami.Jamaa anakupangia kabisa ufukuzane ili yeye awahi anapoenda. [emoji23][emoji23][emoji23]
kwa mm sio hatari kumshusha na kunrejeshea pesa yk lkn sio kupelekeshwa[emoji41]Umetisha mzee.
Sijapenda uyo abiria wako aisee.