Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Uendeshaji wa gari pamoja na sheria zake, utu unahitajika pia, utakuta dereva wa trunk anang'ang'ania ile fast line ya ku overtake ,Tanzania tuna keep left na pass right, traffic officer's wetu hawatilii umuhimu wa kuwapima madereva kuhusu vilevi, na T1 madereva wa IT's ni wasumbufu mno na tabia yao ya kuendesha wakiwa full lights
 
Mbona hatuna hayo mambo

Udereva ni ustaarabu wa mtu binafsi

Lkn nawew kabla ya ku overtake omba site

Unakuta anakuepusha labda kaona kitu mbele ambacho hujakiona mkuu.
Hamna crown ,Subaru,bima etc siyo fuso mpaka mtu wa nyuma ashindwe kuona mbele, basi tu udereva uliochanganyikana na akili za ujana
 
Wazee mpo! Leo Nina trip ndefu sana. Tayari nimeanza mda huu kutokea Ubungo kuelekea Bukoba.

Nitawapatieni updates. Sala zenu wakuu

Update:

Saa5:03 Msamvu. Hapa nina notification moja ya ku overtake, nurse amegoma kula buku2 akaandika.
Ukifika Singida Nistue uchukue Kuku na Futa la Alizeti upeleke zawadi kwa Familia Boss😀😀😀
 
Speed inayotunza mafuta ni 90-100

70 au 120 na kuendelea ndo inakula mafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…