Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa road trip

Vp mafuta yanapanda bei au yanashuka??

Nsije nkaweka full tank afu kesho yakashuka 2700
Si hadi juma tano next week? Kwa huu uhaba wa mafuta naona yatapanda tu, naona wafanyabiashara wameshapata taarifa kuwa bei itapanda ndio maana wanabana kuuza sasaivi ili waje kupiga super profit.

Naona Itaongezeka 200
 
Hapana taarifa huwa inatoka most tar 1 au tar 2

Kwhiyo probably kesho tutaanza bei mpya
 
Pole mkuu muhimu uzima
 
Hizo ajali kawaida sana kwa maeneo ya Njombe
 
mkuu kuna gari kama bmw m3 na m5 hazipo kwenye tra calculator vip zimezuiwa bongo nn? au ndio hivyo hazinunuliwi na wabongo
 
Kama kuna wenye ndugu zao waliosafiri na bus la KIDINILO leo wapige simu waulizie huko au hao waliokuwa kwenye gari ndogo kama ni ndugu zao[emoji33][emoji33][emoji33]
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…