Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu habari za mchana
Na Road trip Dar- Arusha mwezi 10
Gari Toyota Crown GRS182 3.0L

Kwa wenye uzoefu na hii njia
Nisafiri usiku au mchana?
Maeneo korofi ya kuwa makini

Pia Full tank 71L Ntatoboa kweli[emoji28]
Sina uzoef sana na safari ndef kwa kutumia crown lakin huwa napiga sana arusha dar kwa TI na allion kwa mafuta less than 70L. 70L naamini utafika bila tabu.

Barabara iko vizuri kiasi chake, zingatia tu alama za barabarani. Kuna sehem moja kuna tuta kubwa sana usije ukalibonda mana unaeza acha tairi apo.
 

Shukrani sana tuta liko kipande kipi?
 
Nataka hii trip wakuu.

Day 1: Dar to Kilwa Masoko (Nalala)

Day 2: K/Masoko to Lindi to Mtwara (Nalala)

Day 3: Mtwara to Masasi/Tunduru (Nalala)

Kurudi narudi njia iyo iyo, nitachofanya nitaspent usiku 5 tu maximum.

Budget:
1. Kulala na kula (sijajua bado)
2. Mafuta kwa jumla kilometa 2,000 itakua kwenye 200k to 250k kwa gari langu.
3. Emergency

Hope gari haitasumbua.

Mwenye ushauri.

Nataka mwezi wa 10 mwishoni au 11 mwanzoni.
 
Mbna wese la bei chee sana, gari gani hii? 2000km kwa lt 110 roughly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…