Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
😄😄😄Leo banyankole nimekua mrombo! Eee Jehova nisi Jehovah sharma....sema Mungu ni mwema umefika salama!Nilifika salama, na hapa naingia kulala. Saint Anne
Tulipata jaribio kidogo, kuna raia wanachomekea vibaya kama hawana macho yan.
Kuna mama alikuwa mkali, anasema funguo mlango tuwachape makofi 😆😆
Mpaji Mungu ndugu zako kina Shirima mbona walevi hivi mpaka asubuhi 😂
Yote kwa yote night trip ni nzuri kama hauko kwenye usukani na kama hauna kazi ya kumuongelesha dereva ili asije kusinzia.
Ni music + usingizi murua
Tulia Munisi 🤣😄😄😄Leo banyankole nimekua mrombo! Eee Jehova nisi Jehovah sharma....sema Mungu ni mwema umefika salama!
Next time usisafiri usiku
Kwanza ww umefata huko, ukute we ukoo wa mkenda 🙄Tulia Munisi 🤣
Mungu ni mwema siku zote 🙏
Nitaweza? 😂😂 naona usiku pana ustaarabu kiasi. Shida ni wale walevi wanaotoka bar alfajiri.
😂😂😂 kina Shirima nyie ni majirani tu.Kwanza ww umefata huko, ukute we ukoo wa mkenda 🙄
Sasa ukute zle rough road mvua imenyesha utasubir kukuche nakwambia
Hujaingia ndani ndani bas!😂😂😂 kina Shirima nyie ni majirani tu.
Wapi kuna rough road? 😂 mm nilikuwa nahisi ni lami tu kote
Hujaingia ndani ndani bas!
We utakua kina Mziray, Msuya, Shengena, Mshana na nandy😄
Vipi Dynasty Beach na Ndege Beach ulishapitako, kama bado jaribu nako siyo pabaya japo hao wote bado hawajafikia Barra Beach, hivi ndio viwanja vya karibu kwa sisi raia wa nje ya mji maana huko Wavuvi Kempu & Co ni unafunga safari[emoji1787][emoji1787][emoji1787] next time nitawacall mnipeleke Barra beach
🙌🙌🙌🙌🙌Hahaaa ila kina Mziray ni watu poa sana.
Yote majibu huko chini 🤣🤣
Wamama wa kaskazini hawana utani😂😂😂😂🙌Nilifika salama, na hapa naingia kulala. Saint Anne
Tulipata jaribio kidogo, kuna raia wanachomekea vibaya kama hawana macho yan.
Kuna mama alikuwa mkali, anasema funguo mlango tuwachape makofi 😆😆
Mpaji Mungu ndugu zako kina Shirima mbona walevi hivi mpaka asubuhi 😂
Yote kwa yote night trip ni nzuri kama hauko kwenye usukani na kama hauna kazi ya kumuongelesha dereva ili asije kusinzia.
Ni music + usingizi murua
Mimi komwe langu halinaga balanceNililala
Mimi nalala vizuri kabisa, na hukuti nimefika kumuegemea jirani. Ama kulaza kisogo kwenye seat, natulia nalala.
Sasa kama hizo huwezi mbona safari za usiku zitakusumbua? Maana huwezi talii nje ni kiza tupu.
😁😁 tuliaa binti. Wine sio pombe 😎
Ndege beach tayari.. hiyo dynasty ndio naisikia sahii jamani.Vipi Dynasty Beach na Ndege Beach ulishapitako, kama bado jaribu nako siyo pabaya japo hao wote bado hawajafikia Barra Beach, hivi ndio viwanja vya karibu kwa sisi raia wa nje ya mji maana huko Wavuvi Kempu & Co ni unafunga safari
😂😂😂 unahitaji shule sasa ya kulala kwa utulivu kwenye bus.Mimi komwe langu halinaga balance
Safari hata za mchana nalala sana ila napata shida sana,heri kikikaa dirishani ntaegemea kioo.
Walevi utawajua tu
Hiyo Dynasty Beach iko Ununio, kwenye huo Ufukwe kuna bar kadhaa zimepangana, kuna nyingine iko hapo hapo inaitwa Rastaland Beach na penyewe ni poa sanaNdege beach tayari.. hiyo dynasty ndio naisikia sahii jamani.
Kweli, ukiwa mbali na city center mpaka upafikie ni mara 2 kila baada ya miezi. Sio kazi nyepesi..
Nimekuja wakati mbaya, jua linachoma sana.. nikawa siwezani kabisa, mbali nilipoenda ni Kigamboni’ huko Barra niliambiwa nisiondoke sijaenda. Na hata sikufanikiwa
Next time.. nitazingatiaHiyo Dynasty Beach iko Ununio, kwenye huo Ufukwe kuna bar kadhaa zimepangana, kuna nyingine iko hapo hapo inaitwa Rastaland Beach na penyewe ni poa sana
Yeah wana chakula kizuri, mtu anaweza akafika ule ufukwe wa ununio akaruka zile bar zote za mwanzo akaenda kule mwisho iliko dynasty, wanajua kujitangaza sanaHapo Dynasty nilikuwa samaki mkubwa balaa!
Zote ni D-4DWazee hivi kuna 2KD engine ambayo sio D-4D?