Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
😄😄😄Leo banyankole nimekua mrombo! Eee Jehova nisi Jehovah sharma....sema Mungu ni mwema umefika salama!Nilifika salama, na hapa naingia kulala. Saint Anne
Tulipata jaribio kidogo, kuna raia wanachomekea vibaya kama hawana macho yan.
Kuna mama alikuwa mkali, anasema funguo mlango tuwachape makofi 😆😆
Mpaji Mungu ndugu zako kina Shirima mbona walevi hivi mpaka asubuhi 😂
Yote kwa yote night trip ni nzuri kama hauko kwenye usukani na kama hauna kazi ya kumuongelesha dereva ili asije kusinzia.
Ni music + usingizi murua
Next time usisafiri usiku