Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nilifika salama, na hapa naingia kulala. Saint Anne

Tulipata jaribio kidogo, kuna raia wanachomekea vibaya kama hawana macho yan.
Kuna mama alikuwa mkali, anasema funguo mlango tuwachape makofi 😆😆

Mpaji Mungu ndugu zako kina Shirima mbona walevi hivi mpaka asubuhi 😂

Yote kwa yote night trip ni nzuri kama hauko kwenye usukani na kama hauna kazi ya kumuongelesha dereva ili asije kusinzia.
Ni music + usingizi murua
😄😄😄Leo banyankole nimekua mrombo! Eee Jehova nisi Jehovah sharma....sema Mungu ni mwema umefika salama!

Next time usisafiri usiku
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] next time nitawacall mnipeleke Barra beach
Vipi Dynasty Beach na Ndege Beach ulishapitako, kama bado jaribu nako siyo pabaya japo hao wote bado hawajafikia Barra Beach, hivi ndio viwanja vya karibu kwa sisi raia wa nje ya mji maana huko Wavuvi Kempu & Co ni unafunga safari
 
Nilifika salama, na hapa naingia kulala. Saint Anne

Tulipata jaribio kidogo, kuna raia wanachomekea vibaya kama hawana macho yan.
Kuna mama alikuwa mkali, anasema funguo mlango tuwachape makofi 😆😆

Mpaji Mungu ndugu zako kina Shirima mbona walevi hivi mpaka asubuhi 😂

Yote kwa yote night trip ni nzuri kama hauko kwenye usukani na kama hauna kazi ya kumuongelesha dereva ili asije kusinzia.
Ni music + usingizi murua
Wamama wa kaskazini hawana utani😂😂😂😂🙌

Hongereni sana

Saa moja asubuhi inakukutia mjini,raha sana ila naogopa.
 
Nililala

Mimi nalala vizuri kabisa, na hukuti nimefika kumuegemea jirani. Ama kulaza kisogo kwenye seat, natulia nalala.

Sasa kama hizo huwezi mbona safari za usiku zitakusumbua? Maana huwezi talii nje ni kiza tupu.

😁😁 tuliaa binti. Wine sio pombe 😎
Mimi komwe langu halinaga balance
Safari hata za mchana nalala sana ila napata shida sana,heri kikikaa dirishani ntaegemea kioo.

Walevi utawajua tu
 
Vipi Dynasty Beach na Ndege Beach ulishapitako, kama bado jaribu nako siyo pabaya japo hao wote bado hawajafikia Barra Beach, hivi ndio viwanja vya karibu kwa sisi raia wa nje ya mji maana huko Wavuvi Kempu & Co ni unafunga safari
Ndege beach tayari.. hiyo dynasty ndio naisikia sahii jamani.

Kweli, ukiwa mbali na city center mpaka upafikie ni mara 2 kila baada ya miezi. Sio kazi nyepesi..

Nimekuja wakati mbaya, jua linachoma sana.. nikawa siwezani kabisa, mbali nilipoenda ni Kigamboni’ huko Barra niliambiwa nisiondoke sijaenda. Na hata sikufanikiwa
 
Mimi komwe langu halinaga balance
Safari hata za mchana nalala sana ila napata shida sana,heri kikikaa dirishani ntaegemea kioo.

Walevi utawajua tu
😂😂😂 unahitaji shule sasa ya kulala kwa utulivu kwenye bus.

😂😂🥂 baibo yenyewe imesema mvinyo kidogo kwa ajili ya tumbo.

Dar mmeendelea.
Ile mixing iliyofanywa pale katikati ya uhasibu na kurudi Jitegemee ama kwenda darajani. Ni kaliii… lakini jua& watu wengi bado kwangu kuna idisqualify 🤭
 
Ndege beach tayari.. hiyo dynasty ndio naisikia sahii jamani.

Kweli, ukiwa mbali na city center mpaka upafikie ni mara 2 kila baada ya miezi. Sio kazi nyepesi..

Nimekuja wakati mbaya, jua linachoma sana.. nikawa siwezani kabisa, mbali nilipoenda ni Kigamboni’ huko Barra niliambiwa nisiondoke sijaenda. Na hata sikufanikiwa
Hiyo Dynasty Beach iko Ununio, kwenye huo Ufukwe kuna bar kadhaa zimepangana, kuna nyingine iko hapo hapo inaitwa Rastaland Beach na penyewe ni poa sana
 
Hii ni D-4D au sio?
IMG-20240110-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom