Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kutokea huko kigamboni mpaka Barra beach ni kipande cha kutosha.....ila ungeenjoi sana
 
Magari private yamepungua sana kwenye night trips. Barabara imepoa sana. Sasahivi ni unaongozana na mabasi safari nzima, private za kuhesabu.

Sababu itakuwa ni nini?
Utasikia wese.

Ila wadau wengi wameacha kutumia barabara kwa masafa marefu. Last time kuvuka mikoa mitano kwa barabara sijui ilikua mwaka gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…