Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ndege beach tayari.. hiyo dynasty ndio naisikia sahii jamani.

Kweli, ukiwa mbali na city center mpaka upafikie ni mara 2 kila baada ya miezi. Sio kazi nyepesi..

Nimekuja wakati mbaya, jua linachoma sana.. nikawa siwezani kabisa, mbali nilipoenda ni Kigamboni’ huko Barra niliambiwa nisiondoke sijaenda. Na hata sikufanikiwa
Kutokea huko kigamboni mpaka Barra beach ni kipande cha kutosha.....ila ungeenjoi sana
 
Kazi kazi
 

Attachments

  • 20240119_230347.jpg
    20240119_230347.jpg
    961.1 KB · Views: 28
  • 20240123_195726.jpg
    20240123_195726.jpg
    858.4 KB · Views: 28
Magari private yamepungua sana kwenye night trips. Barabara imepoa sana. Sasahivi ni unaongozana na mabasi safari nzima, private za kuhesabu.

Sababu itakuwa ni nini?
Utasikia wese.

Ila wadau wengi wameacha kutumia barabara kwa masafa marefu. Last time kuvuka mikoa mitano kwa barabara sijui ilikua mwaka gani
 
Back
Top Bottom