Ilikuwa msala, mama alinicheka sana na kidumu changu, uzuri ilikuwa saa 1 jioni giza tayari so ikawa afadhali πππ ingekuwa mchana sijui hata ningeficha wapi sura yangu.Hiyo inaitwa time me before i time you π π π .
Bits rs ni aina gani hii mkuu.?
Aisee una moyo! RS nasikia kana nguvu sana
Hapo nimekupata vyema mkuu.NI VITZ RS
Hahahah madumu madumu jau! Ila yanaokoa sana. Imagine siku ile ningekuwa sina dumuHatari sana! magari yanaficha mengi sana,unakuta umepewa lift sasa dereva anashika brake ya ghafla kukwepa tuta-huo mlio wa madumu unaotokea huko nyuma acha tu πππ
Issue siyo kufika 180km/hr, issue ni unafika 180km/hr at what level of risk and comfortability? Binafsi hyo risk ya gari kukosa stability i did observed my self na nika slow down.Carina na ukubwa wote ule wa body ina weight ya 1130kg ambao ni mdogo kulinganisha na let's say Volks Golf pamoja na udogo wake ina 1500kg+ & still barabarani mkapata the same level of stability and comfortability.It's very hard kupata the same level of stability na Brevis yenye 1500kg+ at 180km/hr.Itakua uoga wako tu mkuu...m naendeshaga bits rs 180kph inakua kawaida tu mkuu
Issue siyo kufika 180km/hr, issue ni unafika 180km/hr at what level of risk and comfortability? Binafsi hyo risk ya gari kukosa stability i did observed my self na nika slow down.Carina na ukubwa wote ule wa body ina weight ya 1130kg ambao ni mdogo kulinganisha na let's say Volks Golf pamoja na udogo wake ina 1500kg+ & still barabarani mkapata the same level of stability and comfortability.It's very hard kupata the same level of stability na Brevis yenye 1500kg+ at 180km/hr.
πππ anakuja kujibu chap.
Dumu moja ni poaππ,but ishu inakuja madumu mengi kwenye gari ya cc chini ya 1500,Sasa ikiwa Majesta si ataweka KORIE mkuu π€£ π€£ π€£,Mbongo anaweka madumu mpaka unaweza hisi yupo kwenye road trip anaelekea Misri πππ.Hahahah madumu madumu jau! Ila yanaokoa sana. Imagine siku ile ningekuwa sina dumu
Brevis natembeaga na hio 180km/h na bado inakua gari inadai balaa,ni vile tu natural aspirated engines haina modes za maana ila ingekua ni turbo hakika ningeifanyia modes kadhaa nikate kiuIssue siyo kufika 180km/hr, issue ni unafika 180km/hr at what level of risk and comfortability? Binafsi hyo risk ya gari kukosa stability i did observed my self na nika slow down.Carina na ukubwa wote ule wa body ina weight ya 1130kg ambao ni mdogo kulinganisha na let's say Volks Golf pamoja na udogo wake ina 1500kg+ & still barabarani mkapata the same level of stability and comfortability.It's very hard kupata the same level of stability na Brevis yenye 1500kg+ at 180km/hr.
Hahahah noma.Dumu moja ni poaππ,but ishu inakuja madumu mengi kwenye gari ya cc chini ya 1500,Sasa ikiwa Majesta si ataweka KORIE mkuu π€£ π€£ π€£,Mbongo anaweka madumu mpaka unaweza hisi yupo kwenye road trip anaelekea Misri πππ.
Wasiwasi ndio akili sometimes, wacha tukimbizie mbawa zetu "ToyoPet"
We ni noma.Brevis natembeaga na hio 180km/h na bado inakua gari inadai balaa,ni vile tu natural aspirated engines haina modes za maana ila ingekua ni turbo hakika ningeifanyia modes kadhaa nikate kiu
Brevis engine yake ni inline 6! 1JZ Inaruhusu kufanya ma modes kibao tu sema uwe na hela tu. Ila kwa mwendo Brevis inanoga jamani, inachanganya effortlessly!Brevis natembeaga na hio 180km/h na bado inakua gari inadai balaa,ni vile tu natural aspirated engines haina modes za maana ila ingekua ni turbo hakika ningeifanyia modes kadhaa nikate kiu
Daah enzi zangu nilikuaga na gari inachemsha kishenzi,nilikua natembea na dumu za maji ya k'manjaro kama 15(nimezijaza maji ya bomba) kule kwny buti aisee.Dumu moja ni poaππ,but ishu inakuja madumu mengi kwenye gari ya cc chini ya 1500,Sasa ikiwa Majesta si ataweka KORIE mkuu π€£ π€£ π€£,Mbongo anaweka madumu mpaka unaweza hisi yupo kwenye road trip anaelekea Misri πππ.
πππππDaah enzi zangu nilikuaga na gari inachemsha kishenzi,nilikua natembea na dumu za maji ya k'manjaro kama 15(nimezijaza maji ya bomba) kule kwny buti aisee.
πππ mkuu tuhame humo mkuu!Ni Opa gangnam style mzee πππ
Mkuu unakabiliana vipi na vijana wa Sirro?πSasa wengine kutembea chini ya 140kph hatuwezi ndio maana nakwepa safari za usiku.