Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ilikuwa msala, mama alinicheka sana na kidumu changu, uzuri ilikuwa saa 1 jioni giza tayari so ikawa afadhali ๐๐๐ ingekuwa mchana sijui hata ningeficha wapi sura yangu.Hiyo inaitwa time me before i time you ๐ ๐ ๐ .