Usifanye nikumbuke trips za brevis ya mchepuko wangu 🤒Brevis engine yake ni inline 6! 1JZ Inaruhusu kufanya ma modes kibao tu sema uwe na hela tu. Ila kwa mwendo Brevis inanoga jamani, inachanganya effortlessly!
Shida ni hapo sheli lazma upewe membership card😂
Tutahama tu ila kwa hali navyoiona ya TBS huenda nikadumu dumu kidogo. Mwendo wa 1ZZ-FE ni mtamu sana😂😂😂 mkuu tuhame humo mkuu!
Mkuu ishu sensitive kama hiyo uwe unapeleka kwa mafundi wa uhakika, unaweza kuwa na nia nzuri ila jamaa wakakufanya ujute... Mm pia nawaza kusafisha tank ila natafuta hela niende toyotaSema mi nilishusha tank likasafishwa about 3 weeks ago. Halikuwa na residue zozote. Ila sasa imezalisha tatizo jengine baya kweli. Gauge yangu inanipa false readings. Sijui hata ishu ni nini tena maana pump iko sawa ila toka iliporudishiwa wakati wanafunga tank ikawa inasoma empty kabisa hata baada ya kuweka full tank.
Nikaenda kwa fundi kufungua tena pump na kuigeuza pengine ilifungwa upande sio ikawa inasoma ila ilikuja kuniadhiri Jangwani pale sitasahau tena nikiwa na bibie. Ikabidi nitie triangle nipande fire na kidumu. Sasa sielewi sijui tatizo litakuwa nini kupelekea wrong readings
Hivi unadhani kila mtu anawaogopa vijana wa Sirro? 😀 shauri yakoMkuu unakabiliana vipi na vijana wa Sirro?😂
Hahahah alikuwa anakuachia utambe nayo mjini 😂Usifanye nikumbuke trips za brevis ya mchepuko wangu 🤒
Hapana mkuu,engine za brevis (1jz/2jz)-GE/FSE (Non-turbo)hazina modes zozote za maana,unazosemea wewe ni 1jz/2jz-GTE(Turbo) zilizoko kwny ma supra/Aristo ndio baba lao.Brevis engine yake ni inline 6! 1JZ Inaruhusu kufanya ma modes kibao tu sema uwe na hela tu. Ila kwa mwendo Brevis inanoga jamani, inachanganya effortlessly!
Shida ni hapo sheli lazma upewe membership card😂
Tena hiyo engine unaifaidi ikiwa kwenye gari ndogo kama hiyo au premio ila ila kwenye rav 4 ile kilitime haiitiki vizuri...Tutahama tu ila kwa hali navyoiona ya TBS huenda nikadumu dumu kidogo. Mwendo wa 1ZZ-FE ni mtamu sana
Wazee wa kitengo mna mbwembwe sanaHivi unadhani kila mtu anawaogopa vijana wa Sirro 😀 shauri yako
Nimeamua nihamishe magoli tu kwa muda. Naweka mafuta ya kuzidi jiwe moja. Likishuka kufikia 1 najua ni time to refill. Mpaka ntakapoenda kwa mtu wa diagnosis.Mkuu ishu sensitive kama hiyo uwe unapeleka kwa mafundi wa uhakika, unaweza kuwa na nia nzuri ila jamaa wakakufanya ujute... Mm pia nawaza kusafisha tank ila natafuta hela niende toyota
😃😃😃😃We ni noma.
Wazee wa kitengo mna mbwembwe sana
Nakubali mkuu...Nimeamua nihamishe magoli tu kwa muda. Naweka mafuta ya kuzidi jiwe moja. Likishuka kufikia 1 najua ni time to refill. Mpaka ntakapoenda kwa mtu wa diagnosis.
Mnasimamishwa wote ww unalia lia mwenzako anajitambulisha tu sawa mkuu uwe na safari njema... DahWenye vitengo vyao Mzee!! We acha tu
Ndo mara yangu ya kwanza kupata ajali.Jamaa yangu we kiboko-Traffic anatumia taratibu gani kukuandikia?Anayestahili kupima ni nan? atapimaje ajali bila kufika tukio husika? jam inasababishwaje na aliyegongwa mpaka apigwe fain? kweli hamna namna [emoji1787][emoji1787]-Traffic alivyofika kituoni lazima alihadithia wengine encounter yako[emoji16][emoji16][emoji16]
Mwenzake Bavaria akimpita traffic aliyemsimamisha nyuma anaenda mbele anageuza gari anamrudia kumsikiliza 😁 😁Mkuu unakabiliana vipi na vijana wa Sirro?😂
Kuna choko alinisimamisha kisa nimepiga honi kabla sijaifikia Zebra hapo nshaikacha 50 nimemwaga moto naitafuta 110kph. Ghafla mkono...Eti kwanini niwapigie wana kijiji honi ikiwa wanaelekea zebra.50kph zone naenda 50kph....ikiisha natembea kweri kweri!
Na wewe ni member nini? Mbona kauli ndio hizi hizi...anajitambulisha tu sawa mkuu uwe na safari njema... Dah
Bavaria ni kijana mtiifu hana shida na mtu 😂😂😂 ye akiambiwa alipe analipa tu! Akiwapita anatia cha uani kuwafuata.Mwenzake Bavaria akimpita traffic aliyemsimamisha nyuma anaenda mbele anageuza gari anamrudia kumsikiliza 😁 😁
Duh hawa jamaa wana maswali ya ajabu. Mimi 50kph huwa napiga 50kph basi hapo kuna wanyonge wenye fujo wanakupita ikiisha 50kph dakika mbili nyingi naanza kutafuna mmoja mmojaKuna choko alinisimamisha kisa nimepiga honi kabla sijaifikia Zebra hapo nshaikacha 50 nimemwaga moto naitafuta 110kph. Ghafla mkono...Eti kwanini niwapigie wana kijiji honi ikiwa wanaelekea zebra.
Kanisumbua sumbua nikampa 10k nikaishia zangu.