Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mungu akijalia mambo yangu yakienda vyema ninavyotaka bila shida hadi mwakani.. natamani niipate Golf R.. nimeifatilia vizuri.. hii najua road nitaanzisha sasa league na nitae mkuta babarani
 
Kwa mtu aliezoea Toyota lazima aione ni mwisho wa reli.
 
😁 😁 😁 Porsche ni case nyingine kabisa mkuu,700+hp ni hatari.
Lakin Volks GTi na baadhi ya wengineo kwenye 0-180km/hr let's say mbele ya crown athlete 3.0L ni shughuli pevu kweli kweli
Athlete 2GR 0-180kph anasumbua hizi Golf. Ndio maana huwa ligi kama hizi inabidi utumie akili, unamuacha mkifika kwenye 160kph ndio unamuuonesha unataka ligi coz unajua soon anagota limit wewe unaendelea hadi 200+
 
Kweli, katika gari za toyota ambayo nilionaga ni machine ni haswaa.. nayo ilikuwa ni toleo la canada, toyota corolla.. na ilikuwa na kisahani cha 240.. ile gari inatembea kishenzi.. ilinishangazaga, ila sio crown
Toyota hazitumii umeme mwingi kama European cars,hivyo TOYOTA ukishindana na European cars hata on the same speed tegemea kuchoma mafuta mengi balaa mpaka akili ikae sawa wakati mwenzako performance ni kubwa kushinda fuel anayotumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…