East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Mungu akijalia mambo yangu yakienda vyema ninavyotaka bila shida hadi mwakani.. natamani niipate Golf R.. nimeifatilia vizuri.. hii najua road nitaanzisha sasa league na nitae mkuta babaraniKuna GT moja watoto wa Kihindi huwa wanaichezea huku Toure drive ni balaa. Jioni huwa I'm jogging along Toure drive hawa watoto mmoja ana Cayenne namba C, mwingine ana VX V8 nayo namba C huwa wanafukuzana. Porsche mbele VX inajokongoja nyuma. Wanaweza kunipita hata mara tatu.
Siku ambayo nilisema hela ni nyoko niliwakuta wamepaki mbele Cayenne,Infinity ile kama Y62 na hio VX V8 wanazikagua nikasema wacha tutafute pesa hata wajukuu wafanye hivi!