Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna GT moja watoto wa Kihindi huwa wanaichezea huku Toure drive ni balaa. Jioni huwa I'm jogging along Toure drive hawa watoto mmoja ana Cayenne namba C, mwingine ana VX V8 nayo namba C huwa wanafukuzana. Porsche mbele VX inajokongoja nyuma. Wanaweza kunipita hata mara tatu.
Siku ambayo nilisema hela ni nyoko niliwakuta wamepaki mbele Cayenne,Infinity ile kama Y62 na hio VX V8 wanazikagua nikasema wacha tutafute pesa hata wajukuu wafanye hivi!
Mungu akijalia mambo yangu yakienda vyema ninavyotaka bila shida hadi mwakani.. natamani niipate Golf R.. nimeifatilia vizuri.. hii najua road nitaanzisha sasa league na nitae mkuta babarani
 
Watu wanaziogopa crown.. kama gari za zinazokimbia sanaa.. ila nishaona za kawaida sanaaa.. binafsi nimetumia hiyo gari hakuna kitu.. ila kukimbia inakimbia ila sio kama watu wanavyo ipa daraka la juu kiivyo.. maybe hiyo majesta V8 ila hizi Athlete bado sana kuziweka daraja moja na jerumani machine
Kwa mtu aliezoea Toyota lazima aione ni mwisho wa reli.
 
😁 😁 😁 Porsche ni case nyingine kabisa mkuu,700+hp ni hatari.
Lakin Volks GTi na baadhi ya wengineo kwenye 0-180km/hr let's say mbele ya crown athlete 3.0L ni shughuli pevu kweli kweli
Athlete 2GR 0-180kph anasumbua hizi Golf. Ndio maana huwa ligi kama hizi inabidi utumie akili, unamuacha mkifika kwenye 160kph ndio unamuuonesha unataka ligi coz unajua soon anagota limit wewe unaendelea hadi 200+
 
Kweli, katika gari za toyota ambayo nilionaga ni machine ni haswaa.. nayo ilikuwa ni toleo la canada, toyota corolla.. na ilikuwa na kisahani cha 240.. ile gari inatembea kishenzi.. ilinishangazaga, ila sio crown
Toyota hazitumii umeme mwingi kama European cars,hivyo TOYOTA ukishindana na European cars hata on the same speed tegemea kuchoma mafuta mengi balaa mpaka akili ikae sawa wakati mwenzako performance ni kubwa kushinda fuel anayotumia.
 
Back
Top Bottom