Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Mshkaji hakusema analinganisha stock vs stock au stock vs moded,na 2jz-gte kamwe hazijawahi kusifika zikiwa stock.Hizo zinefanyiwa mods. Ila ile stock vs stock ya 911 turbo sidhani kama hio 2jzgte itatoboa. Ukifanya mods hata Vitz inaweza kuwa quick than Mark X ila stock vs stock pound for pound ni mbingu na ardhi.
Okay....fair comparison ni pound for pound.Mshkaji hakusema analinganisha stock vs stock au stock vs moded,na 2jz-gte kamwe hazijawahi kusifika zikiwa stock.
Kwa hio popote pale duniani inapotajwa 2jz-gte wadau wanajua hapo unaenda kuongelea modifications.
Kuna Nissan Patrol moja kipisi nayo imefanyiwa mambo inavuruga gari za heshima balaa!Mshkaji hakusema analinganisha stock vs stock au stock vs moded,na 2jz-gte kamwe hazijawahi kusifika zikiwa stock.
Kwa hio popote pale duniani inapotajwa 2jz-gte wadau wanajua hapo unaenda kuongelea modifications.
Na ndio maana nasema 2JZ-GTE dunia nzima haijawahi kusifika ikiwa stock maana inatoa only 280hp.
Niliiona kule youtube haifai ile,kuna Jeep Srt-8 moded hapo hadi lamborghini hua zinaachwa kama zimesimama vile.Kuna Nissan Patrol moja kipisi nayo imefanyiwa mambo inavuruga gari za heshima balaa!
Hizo ni mods rafiki.Aristo/mark 2/Supra zote hizo zina engine ya 2jz-gte
Ingia youtube uone supra 911 turbos S zinavyoachwa na hizo 2jz-gte kama zimesimama vile.
Na wanaofanya mods ni almost 1% ya wanunuzi wa magari.Mshkaji hakusema analinganisha stock vs stock au stock vs moded,na 2jz-gte kamwe hazijawahi kusifika zikiwa stock.
Kwa hio popote pale duniani inapotajwa 2jz-gte wadau wanajua hapo unaenda kuongelea modifications.
Hizo ni mods rafiki.
911 stock inaziburuza hata baadhi ya lambos, ferrari.
911 stock inakupa 0-100kph in 2.7s. Na 1/4 mile inamaliza kwa 10.1s.
Hata hiyo 911 ukiifanyia mods, balaa lake ni levels za kina Chiron.

1JZ/2JZ-GTE ni gari zilizonunuliwa kwa wingi na watu wanaopenda mods.Na wanaofanya mods ni almost 1% ya wanunuzi wa magari.
Lakini hizi 911 ni stock tu na hp zake kubwa. Huitaji kufanya mods kwenye 911 ili kupata over 300hp. Au BMW M3/M5 ukienda showroom unaichukua kama ilivyo na hp zake nyingi.1JZ/2JZ-GTE ni gari zilizonunuliwa kwa wingi na watu wanaopenda mods.
Sasa hivi kuipata stock aristo/supra/mark 2 zenye 2jz-gte ni ngumu saaana kuliko kuipata modded 2jz-gte yaani ni sawa na ilivyo ngumu kuipata wrx sti stock kulinganisha modded one
So ukisema 1% ya wanunuzi wa magari useme kabisa ni wanunuzi wa magari ya aina gani,maana % kubwa ya magari duniani ni magari basic tu (sababu ya reliability/simplicity) na hayana mods zozote zile za maana na ndio yananunuliwa kwa wingi na watu ili kututoa tu sehemu 1 kwenda nyingine,kulinganisha na performance cars ambazo ni chache.
Inshort ni kwamba kupata performance cars ikiwa stock ni ngumu sana kuliko kupata performance car ikiwa modded.
Kifupi 2jzgte ni engine yenye room kubwa ya improvement sio?Na dunia nzima hakuna Aristo inayosifiiwa ikiwa Stock.
Pia Internal parts za Engine ya 911 ni delicate, hazivumilii high boost pressure bila kubasti kulinganisha na 2JZ-GTE ambayo inaweza kua moded mpk kufikia HP 2000 kwa 85psi.
Ndio mkuu.Kifupi 2jzgte ni engine yenye room kubwa ya improvement sio?
Sisi wenye 2wd hapa tunapita kwa macho tuUkiwa na AWD sasa!View attachment 1693957
Lakini hizi 911 ni stock tu na hp zake kubwa. Huitaji kufanya mods kwenye 911 ili kupata over 300hp. Au BMW M3/M5 ukienda showroom unaichukua kama ilivyo na hp zake nyingi.
Sasa hao wengine ili kupambana na hizi ndio inabidi wafanye mods.
Au mimi ndio sielewi hizi M3/M5 sio performance cars? Audi RS5/6 inatoka kiwandani na mzigo wake huo hizi sio performance cars?
Performance cars nyingi ni sports/super/hyper cars.1JZ/2JZ-GTE ni gari zilizonunuliwa kwa wingi na watu wanaopenda mods.
Sasa hivi kuipata stock aristo/supra/mark 2 zenye 2jz-gte ni ngumu saaana kuliko kuipata modded 2jz-gte yaani ni sawa na ilivyo ngumu kuipata wrx sti stock kulinganisha modded one
So ukisema 1% ya wanunuzi wa magari useme kabisa ni wanunuzi wa magari ya aina gani,maana % kubwa ya magari duniani ni magari basic tu (sababu ya reliability/simplicity) na hayana mods zozote zile za maana na ndio yananunuliwa kwa wingi na watu ili kututoa tu sehemu 1 kwenda nyingine,kulinganisha na performance cars ambazo ni chache.
Inshort ni kwamba kupata performance cars ikiwa stock ni ngumu sana kuliko kupata performance car ikiwa modded.
Aisee!Wale wazee wa Road wapi hii View attachment 1694090View attachment 1694091
Dom-DarAisee!