1JZ/2JZ-GTE ni gari zilizonunuliwa kwa wingi na watu wanaopenda mods.
Sasa hivi kuipata stock aristo/supra/mark 2 zenye 2jz-gte ni ngumu saaana kuliko kuipata modded 2jz-gte yaani ni sawa na ilivyo ngumu kuipata wrx sti stock kulinganisha modded one
So ukisema 1% ya wanunuzi wa magari useme kabisa ni wanunuzi wa magari ya aina gani,maana % kubwa ya magari duniani ni magari basic tu (sababu ya reliability/simplicity) na hayana mods zozote zile za maana na ndio yananunuliwa kwa wingi na watu ili kututoa tu sehemu 1 kwenda nyingine,kulinganisha na performance cars ambazo ni chache.
Inshort ni kwamba kupata performance cars ikiwa stock ni ngumu sana kuliko kupata performance car ikiwa modded.
Performance cars nyingi ni sports/super/hyper cars.
Zinatoka kiwandani stock na performance zake.
Ila hizo nyingine ni sawa na mtu afanye mod Rav 4 yake halafu aiite performance cars.
Aristo, Mark II, Crown, Brevis, Mark X ni gari za kawaida. Sema tunazimod ili na sisi tujimwambafy na kina Benz, BMW n.k.
Supra ni performance car yenye room ya mods.
911 nayo pamoja na stats zake zilizotisha ila bado kuna room ya mods. Kuna makampuni kama Manhart, BKperfrmance, mtr, ab, rauh welt, rainspeed, gemballa. Hawa wote wamespecialize kwenye mods za european na tena zile highend.
Tena kuna kampuni moja imespecialize kuzitune hizo 911 mpaka zina cheua hp za kufa mtu. Iweje wewe useme hizo 911 huwezi zifanyia mods?