Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwenye njia mbovu nikiwa mbele yako utatukana matusi yote, nakwepa shimo moja moja taratiiibu.

Mi huwa natukana tusi moja tuu ....( ) halafu natafuta usawa wa kumpita.

Kimoyomoyo najisemea muache kutongoza kwenye magari mtagongwa 😅.

Ukikuta mwanaume anaendesha amempakia demu ambaye ndo anamtongoza hajakubaliwa bado, usiombe awe mbele yako anaendesha taratibu ili asifike haraka anabembeleza akubaliwe khaa...!!

Ila ukilibembeleza gari kama paka linajua kudeka kidogo tuu linalia hiiii hiiii 😅😆😆😆
 
Kufukia mashimo hovyo majibu yake utayapata kwa fundi.
 
Tupige basi valentine's Day trip!

Wuuhuuuuu now you are talking..... 😘😘😘😘

Aaaiiiilaaaavuuuuyuuuuuuuu aaahahahahahahaaaa

Utafikiri umeniuliza will you marry me .....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kabla hujamaliza mie nshamema Yeeeeeeesssssssa na kidole nshakiweka mdomoni kwako ili univalishe pete kwa lips. (Naipenda hii kupima kama mwanaume anaweza kulenga penyewe au mpaka apekeche pekeche na kupekenyua 😆😆😆😆😆)
Well bangi za Kasie hizi achana nazo.

About Valentine trip, if this is serious please let’s go chemba sipendi nzi wengi. Najua hii habari itafatiliwa na wengi na mie nataka tuende trip na kurudi salama 😋.

Let’s go inbox please, my answer is yes.

Yaani am exited utasema nimemaliza deni la vikoba 😆😆😆😆.
 
K Matata katika ubora wake....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…