Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mjapani naturally aspirated zake sio za kuchukulia poa kabisa. Wenyewe wanazijua ndio maana VQ35DE ikapewa Best engine of the year award kwa miaka 6
 
Mimi nina imani hio XT 2.0 naweza ichapa pia japo nina 1.8L nikijitia wazimu tu.
 
Barabara ya Kamwanga Feri hadi Sengerema wameshaweka Lami?
 
Mimi nina imani hio XT 2.0 naweza ichapa pia japo nina 1.8L nikijitia wazimu tu.
Ha ha ha sasa mkikutana wehu tupu I doubt aisee, sijui stability ya Opa yako on ground ukiwa 160Kph plus, but this almost all Subies are very stable ni ishu ya dere kujitoa ufahamu tu na kuijua njia

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Hii speedlimiter ndio inaudhi ila hio engine ya Fuga inafika 260KPH bila shida. Hahahah Harrier ali risk sana, ile gari kwa ground clearance yake kuvuka 140KPH ni very risky
Alijitutumua ila abiria wangu wakawa wanamcheka tu wananitia uchizi kabisa...

Wese ndio balaa, ili nimwache nilishuka consumption mpaka 5.5kmpl nikasema potelea mbali inanigharimu ila namtia adabu. Baadaye nikaanza kuongozana na washkaji at 130kmph ndio kidogo nikamaliza safari na average ya 7.7kmpl

Ha ha ha sasa mkikutana wehu tupu I doubt aisee, sijui stability ya Opa yako on ground ukiwa 160Kph plus, but this almost all Subies are very stable ni ishu ya dere kujitoa ufahamu tu na kuijua njia

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Sijawahi fika huko mkuu mwisho 130kph sababu ya usalama wangu tu mkuu ila still iko stable. Ikiwa na full passengers.
 
Hilo dude liko stable sana katika speeds zote naona, Fuga!
Harrier inahamaga ukikunja kona kali kidogo tu inabiringika
 
Jamaa anahisi engine za Toyota zote za HP ndogo?
 
Kwa hiz speed kwenye pikipiki inabidi uvute bangi nyingi sana kabla hujaanza safari na uvae full gears 😂😂😂
 
Sijawahi fika huko mkuu mwisho 130kph sababu ya usalama wangu tu mkuu ila still iko stable. Ikiwa na full passengers.
Mkuu huitendei haki 1.8Ltr, I know sio vipande vyote vya kulaza mshale but zipo sehemu unalaza vizuuuri bila shida yoyote. Mwisho huo uusemao ni speed ninayotembea nikiwa na Vitz 1.0 Ltr na tena bila mafua yoyote. Dar - Dom, Dom - Dar maxi 7 Hrs na supu inanyweka Moro na observation ya 50Kph zones kukishakua kweupe plus michoro ya overtaking hapa na pale kwenye makazi, kwingineko michoro yafukiwa if safe to do so. Safari mara zote huanza around 5am kuepuka miyeyusho ya mabus

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Hahahah ipo siku nitajitoa ufahamu 😂😂😂 nitest kumaliza 180KPH maana limiter imewekwa kwenye 190KPH.

Shida ile speedometer yake ni ya digital kwahio huoni mwisho ila namba zinaongezeka tu 😁😁😁
 
Hahahah ipo siku nitajitoa ufahamu 😂😂😂 nitest kumaliza 180KPH maana limiter imewekwa kwenye 190KPH.

Shida ile speedometer yake ni ya digital kwahio huoni mwisho ila namba zinaongezeka tu 😁😁😁
Ikifika around 185/190kph engine inakata, nilipiga na Crown. Engine unaisikia kabisa kama ina-cease.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…