Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Dah, hakutaka tena mazoea na 5 Series 😂!!!Kuna mshikaji wangu ilitaka kumuua hio black ice motorway. Alikuwa 5series alispin mashine ikaflip ikalala chali. Mafuta yanamwagika kabanwa hawezi kutoka.
Sheria za wazungu hapo hammna mtu kusogea mpaka fire brigade waje wamtoe. Alijikuta yuko hospitali tu maanake alikata moto wakati anasubiri fire brigade waje. Alivyopona aliuza 5series.
Asee bana juzi nimekutana na hio chuma 535i M Perfomance kitu ya 2011 ile mataa baada ya Dar Free Market. Aisee ilibidi nije kuikagua Youtube maana jamaa alintia fimbo na ule umeme! Kitu black on 18"s aisee japo mjerumani simkubali kwenye maintanance ila pale alitengeneza gari kmmmk.mi huwa pa kusifia nasifia tu. Just to find out ile gari ilitoka na Manual tranny stock nikawaza jamaa anainjoyije 300 Horses maana alikuwa anaivuta kwa sifa kweli 😁😁😁 yani.
Its a plus size sedan with very sleek yet bold design.