Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kuna mshikaji wangu ilitaka kumuua hio black ice motorway. Alikuwa 5series alispin mashine ikaflip ikalala chali. Mafuta yanamwagika kabanwa hawezi kutoka.
Sheria za wazungu hapo hammna mtu kusogea mpaka fire brigade waje wamtoe. Alijikuta yuko hospitali tu maanake alikata moto wakati anasubiri fire brigade waje. Alivyopona aliuza 5series.
Dah, hakutaka tena mazoea na 5 Series 😂!!!
Asee bana juzi nimekutana na hio chuma 535i M Perfomance kitu ya 2011 ile mataa baada ya Dar Free Market. Aisee ilibidi nije kuikagua Youtube maana jamaa alintia fimbo na ule umeme! Kitu black on 18"s aisee japo mjerumani simkubali kwenye maintanance ila pale alitengeneza gari kmmmk.mi huwa pa kusifia nasifia tu. Just to find out ile gari ilitoka na Manual tranny stock nikawaza jamaa anainjoyije 300 Horses maana alikuwa anaivuta kwa sifa kweli 😁😁😁 yani.
Its a plus size sedan with very sleek yet bold design.
 
Ha ha ha ukizidiwa udandie bodaboda! Huwa nakimbia bila hata hela ya maji ila simu ipo mkononi.
Hongera. Ila ni vizuri kama unakimbia umbali mrefu kuwa hata na maji, angalau kuongeza electrolytes unazopoteza.
Ni hatari, unaweza kuanguka ghafla kama electrolytes zikishuka kupitiliza. Ukiweza nunua Gatorade au Powerade. Ukishindwa kabisa weka hata glucose kwenye maji yako. Wanamichezo wanakunywa maji au sports beverages kama hizo Gatorade kwa sababu hiyo.
 
Dah, hakutaka tena mazoea na 5 Series 😂!!!
Asee bana juzi nimekutana na hio chuma 535i M Perfomance kitu ya 2011 ile mataa baada ya Dar Free Market. Aisee ilibidi nije kuikagua Youtube maana jamaa alintia fimbo na ule umeme! Kitu black on 18"s aisee japo mjerumani simkubali kwenye maintanance ila pale alitengeneza gari kmmmk.mi huwa pa kusifia nasifia tu. Just to find out ile gari ilitoka na Manual tranny stock nikawaza jamaa anainjoyije 300 Horses maana alikuwa anaivuta kwa sifa kweli 😁😁😁 yani.
Its a plus size sedan with very sleek yet bold design.
🤣 🤣 🤣 Mazda nao naona wanakuja na very elegant styles kwa kasi sana.
 
Hongera. Ila ni vizuri kama unakimbia umbali mrefu kuwa hata na maji, angalau kuongeza electrolytes unazopoteza.
Ni hatari, unaweza kuanguka ghafla kama electrolytes zikishuka kupitiliza. Ukiweza nunua Gatorade au Powerade. Ukishindwa kabisa weka hata glucose kwenye maji yako. Wanamichezo wanakunywa maji au sports beverages kama hizo Gatorade kwa sababu hiyo.
Kwenye marathons huwa kuna water stations huwa wanaweka. Routine yangu up to 21km huwa siwi dehydrated. Vile vile kunywa maji katikati unaweza kupata vichomi. Sana sana nitalamba glucose au chocolate bar for some energy.
 
Hongera. Ila ni vizuri kama unakimbia umbali mrefu kuwa hata na maji, angalau kuongeza electrolytes unazopoteza.
Ni hatari, unaweza kuanguka ghafla kama electrolytes zikishuka kupitiliza. Ukiweza nunua Gatorade au Powerade. Ukishindwa kabisa weka hata glucose kwenye maji yako. Wanamichezo wanakunywa maji au sports beverages kama hizo Gatorade kwa sababu hiyo.

Dah, hakutaka tena mazoea na 5 Series 😂!!!
Asee bana juzi nimekutana na hio chuma 535i M Perfomance kitu ya 2011 ile mataa baada ya Dar Free Market. Aisee ilibidi nije kuikagua Youtube maana jamaa alintia fimbo na ule umeme! Kitu black on 18"s aisee japo mjerumani simkubali kwenye maintanance ila pale alitengeneza gari kmmmk.mi huwa pa kusifia nasifia tu. Just to find out ile gari ilitoka na Manual tranny stock nikawaza jamaa anainjoyije 300 Horses maana alikuwa anaivuta kwa sifa kweli 😁😁😁 yani.
Its a plus size sedan with very sleek yet bold design.
Alikuwa anakimbia sana na sifa juu. Hakujua kuna situation kama hizo za black ice hamna mjanja wala gari Bora!
 
Kuna mdau alipost watu wakabisha.
Ila leo nimejihakikishia kwa baadhi ya barabara zetu za tz na madereva pia.
Prado linaweza kimbia kama ist.
Nilipata safari ya ghafla nikajikuta ndani ya babywalker, baada ya kuchakata rough ya picha ya ndege nikajikuta nyuma ya prado.
Aisee huyu mjamaa nimefika naye moro.
Namshukuru dereva wa prado kwa kuwahi kunifikisha, nashukuru pia mwenye hii ist hayupo jf maana angeniua
Alafu hawa mapolisi wa mlandizi wanashida gani, saa mbili wanasimamisha kukagua insurance???
 
1614021305705.png

Hizi external parts za side mirror za magari hasa TOYOTA zinaibwa sana kwa kasi,tuweni makin kwenye parking
 
Kuna mdau alipost watu wakabisha.
Ila leo nimejihakikishia kwa baadhi ya barabara zetu za tz na madereva pia.
Prado linaweza kimbia kama ist.
Nilipata safari ya ghafla nikajikuta ndani ya babywalker, baada ya kuchakata rough ya picha ya ndege nikajikuta nyuma ya prado.
Aisee huyu mjamaa nimefika naye moro.
Namshukuru dereva wa prado kwa kuwahi kunifikisha, nashukuru pia mwenye hii ist hayupo jf maana angeniua
Alafu hawa mapolisi wa mlandizi wanashida gani, saa mbili wanasimamisha kukagua insurance???

Ulimaanisha IST inaweza kukimbia kama prado au? Anyway umeeleweka hivo hivo.
 
Ndugu yangu humu Jukwaani kila mtu ana gari, na wanajua kukimbiza
barabara za Tanzania zina bumps kibao, zina matuta ya viazi katikati ya barabara ya lami,
hiyo shock-up ya IST inaweza vipi kufukia mashimo, bumps na matuta zaidi ya Prado?
Hata kwa gari za serikali na kukimbizana na muda hawawezi kuchukua IST
huko ni Nissan, Cruiser VX, Cruiser mkonga ndipo Prado, ukimuona mtu binafsi kanunua Prado mpya ni 50M sasa IST ni 10M sasa njoo kwenye size ya Rim Prado ni ... na IST
 
Hapana bosi wangu,
Ist haliwezi kukimbia kama prado.
Prado lina kila advantage, lakini kama dereva wa prado yuko slow kwenye kufanya maamuzi kama kuovertake na pia ni muoga kuvuka 120 basi hapo hilo prado litakua linakimbia kama ist
 
Kuna mdau alipost watu wakabisha.
Ila leo nimejihakikishia kwa baadhi ya barabara zetu za tz na madereva pia.
Prado linaweza kimbia kama ist.
Nilipata safari ya ghafla nikajikuta ndani ya babywalker, baada ya kuchakata rough ya picha ya ndege nikajikuta nyuma ya prado.
Aisee huyu mjamaa nimefika naye moro.
Namshukuru dereva wa prado kwa kuwahi kunifikisha, nashukuru pia mwenye hii ist hayupo jf maana angeniua
Alafu hawa mapolisi wa mlandizi wanashida gani, saa mbili wanasimamisha kukagua insurance???
Huyo dereva wa prado itakuwa alikuwa muoga sana. Ukiwa na IST huwezi kumgusa mwenye prado barabarani
 
Ni kweli mkuu, kilichosababisha tufike sawa ni speed yake ya juu aliyokua anatembelea.
Ila kiukweli jamaa akishuka tuta alikua ana accelerate haraka sana shida inakuja akifika 120 ndo mwisho wake na ndo sababu nilikua namkuta.
 
Ndugu yangu humu Jukwaani kila mtu ana gari, na wanajua kukimbiza
barabara za Tanzania zina bumps kibao, zina matuta ya viazi katikati ya barabara ya lami,
hiyo shock-up ya IST inaweza vipi kufukia mashimo, bumps na matuta zaidi ya Prado?
Hata kwa gari za serikali na kukimbizana na muda hawawezi kuchukua IST
huko ni Nissan, Cruiser VX, Cruiser mkonga ndipo Prado, ukimuona mtu binafsi kanunua Prado mpya ni 50M sasa IST ni 10M sasa njoo kwenye size ya Rim Prado ni ... na IST

Hii ndio JF braza, tunaburudika na comment hivyo hivyo.
 
He he he kumaliza sahani sikushauri, lakini average ya 150 - 160Kph sio mbaya, vipo vipande vinaruhusu kabisa. Mafinga Makambako kuna vpande vimenyooka safi na wala hakuna matuta, Makambako - Igawa pia kuna vipande vimekaa safi na hata rasta zake sio za kukera unafukia na kutembea vizuri kabisa. Bado hapa Msolwa - Ubena - Mikese kuna vipande vinanoga sana kuuweka mguu kulia humo
Kuanzia pale Ukivuka Kwenye 50 tatu kwenye ajali ya Majinja na ukawavuka polisi wakaguzi kuitafuta Nyororo unapiga full kibati, ukitoka Nyororo kama wapo pale unavuta hadi unafika Nyigo hapo unafuata vibao Ukivuka Makambako unavuta hadi karibia na border na Mkoa w Mbeya huwa kun wanga na tochi lao, ukitoka hapo kuitafuta Ingawa full mtelezo hahaaa njia ya Moro-Iringa- Mbeya inaraha yake, utoke Ruaha Mbuyuni hakuna litochi hadi karibu na kupandisha kitonga ndo unakuwa mpole
 
Walau ukitoka saa 11 Alfajiri mchawi ni malori yanayokuja mjini na yanayoondoka so kuna vidakika vya hapa na pale vya maudhi b4 kuyapangua ambayo pia usharp wako ndio utakufanya upunguze muda wa safari. After Chalinze kidogo panatembeleka

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Dar to Mlandizi Traffic wanamka Saa 10:45 alfajiri kwahiyo jiangalie sana
 
Back
Top Bottom