Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Jamaa wanahisi barabara ni yao peke yao.
 

Kiukweli mimi ningeshindwa kuvumilia huu upumbavu, ningepiga U-TURN na kumfatilia hiyo roli tukifika kwenye 50 namu overtake alafu nampiga pini... Alafu atajua kama hajui.

Na the rest itakua history [emoji111]🏼️.
 

Pole sana big man.
 
Hapana bosi wangu,
Ist haliwezi kukimbia kama prado.
Prado lina kila advantage, lakini kama dereva wa prado yuko slow kwenye kufanya maamuzi kama kuovertake na pia ni muoga kuvuka 120 basi hapo hilo prado litakua linakimbia kama ist
Ha ha ha IST huwa mnavurugu sana! Hamuogopi mtu hata awe na V8 mnamjaribu.
 
Kama Prado ameamua kwenda na 100kph ni kweli ukiwa na IST mnaweza kufika sawa.
 
Hasa hasa hawa wanaoendesha haya malori ya kokoto, daah wale jamaa wana fujo hatariiii

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app

Hao wa kokoto ni bangi kabisaa, kuna moja imegonda bajaj na bajaji ikagonga gari.... Ni pale kwenye roundabout ya kuingia kona ya kwrnda kijichi, jamaa wa lori sijui alikua anawahi wapi kwa ile speed ukizingatia kile kimteremko na sharp kona ya pale.

Semauhuni baada ya tukio akatokomea kusikojulikana. Hadi trafic anafika pale ajali ishasababisha follen yaaana.
 
Pole Mkuu, Ndo maana huwa nasema matuta na tochi kwa Tanzania muhimu sana lasivyo wengi tutaangamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…