Countdown 3,2,1.......
Daah crown itatumaliza vijana
😀😀😀😀.. safari ndefu na crown 180 kama ku click hii hapa. Mie mwenyewe natokea pale river side kuja mlimani city, namalizaga sahani goti linabaki halina cha kuongeza tena hiyo huwa naipeleka hadi mliamni city au mataa ya mawasiliano na kama pazuri hadi mlimani cityDaah crown itatumaliza vijana
Hii gari tatizo inashawishi sana ukiwa safari ndefu ukikanyaga kidogo tu 140 hii hapa
Pole kwa kwenye crown.
[emoji3][emoji3] sie wazee wa 100 to 120 tunaogopa kufuta kisahani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. safari ndefu na crown 180 kama ku click hii hapa. Mie mwenyewe natokea pale river side kuja mlimani city, namalizaga sahani goti linabaki halina cha kuongeza tena hiyo huwa naipeleka hadi mliamni city au mataa ya mawasiliano na kama pazuri hadi mlimani city
Hapa penyewe nasubiri usiku, nifanya yangu 😀😀😀😀😀.. napita kwa Kijazi kama nipo na msafara wa RAIS. Na nikichukua machine ya ki sport lazima nikacheze na watoto wa kishua upanga[emoji3][emoji3] sie wazee wa 100 to 120 tunaogopa kufuta kisahani
Mtalemwa huyo bila shakaWe ni muhaya?
Ni burudani yangu mkuu. Inanipa furaha sanaWewe ndio wale 'chizi magari'
Mungu atufanikishe, kuzipata hizo pesa. Tunatembelee hata ferrari 812 gts 😀😀Hobby nzuri sana. Tutafute pesa.
Nadhani ametumia average ya kukisia tu na si tripmeter , kwa barabara za bongo na matuta kupata average ya 125km/h inabidi utembee labda 200km/h kwa muda mrefu.You know what it takes to get 125kph as average speed?!! Watu tunatembea mpaka 180kph, sehemu nyingi unatembea 140kph ila unaishia average speed 80-100kph. Wewe umepata average speed 125kph na rpm isizidi 2000?
Hebu weka sawa kidogo.
Nchi zipi unahofia usalama?Kuna jamaa hapa anataka kufanya road trip nchi zote za SADC november mwakani.
Kutokana na ratiba alivyoisema inaweza mchukua almost 30 days.
Nimeitamani sana hiyo safari, ila naona usalama utakuwa mdogo sana hasa nchi za watu huko.
Sadc ina nchi ngapi? Ukitoka Dar to Jozi unaweza kupita nchi zote za Sadc ukitaka.Kuna jamaa hapa anataka kufanya road trip nchi zote za SADC november mwakani.
Kutokana na ratiba alivyoisema inaweza mchukua almost 30 days.
Nimeitamani sana hiyo safari, ila naona usalama utakuwa mdogo sana hasa nchi za watu huko.
Wakati wa kurudi anapita Mozambique mpaka Mtwara.Nchi zipi unahofia usalama?
Ukiamua unapita ukiacha visiwa vya madagascar, seychelles na mauritius.Sa
Sadc ina nchi ngapi? Ukitoka Dar to Jozi unaweza kupita nchi zote za Sadc ukitaka.