Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Daah crown itatumaliza vijana

Hii gari tatizo inashawishi sana ukiwa safari ndefu ukikanyaga kidogo tu 140 hii hapa

Pole kwa kwenye crown.
😀😀😀😀.. safari ndefu na crown 180 kama ku click hii hapa. Mie mwenyewe natokea pale river side kuja mlimani city, namalizaga sahani goti linabaki halina cha kuongeza tena hiyo huwa naipeleka hadi mliamni city au mataa ya mawasiliano na kama pazuri hadi mlimani city
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. safari ndefu na crown 180 kama ku click hii hapa. Mie mwenyewe natokea pale river side kuja mlimani city, namalizaga sahani goti linabaki halina cha kuongeza tena hiyo huwa naipeleka hadi mliamni city au mataa ya mawasiliano na kama pazuri hadi mlimani city
[emoji3][emoji3] sie wazee wa 100 to 120 tunaogopa kufuta kisahani
 
Hobby nzuri sana. Tutafute pesa.
Mungu atufanikishe, kuzipata hizo pesa. Tunatembelee hata ferrari 812 gts 😀😀

images.jpeg
 
Kuna jamaa hapa anataka kufanya road trip nchi zote za SADC november mwakani.

Kutokana na ratiba alivyoisema inaweza mchukua almost 30 days.

Nimeitamani sana hiyo safari, ila naona usalama utakuwa mdogo sana hasa nchi za watu huko.
 
You know what it takes to get 125kph as average speed?!! Watu tunatembea mpaka 180kph, sehemu nyingi unatembea 140kph ila unaishia average speed 80-100kph. Wewe umepata average speed 125kph na rpm isizidi 2000?
Hebu weka sawa kidogo.
Nadhani ametumia average ya kukisia tu na si tripmeter , kwa barabara za bongo na matuta kupata average ya 125km/h inabidi utembee labda 200km/h kwa muda mrefu.
 
Kuna jamaa hapa anataka kufanya road trip nchi zote za SADC november mwakani.

Kutokana na ratiba alivyoisema inaweza mchukua almost 30 days.

Nimeitamani sana hiyo safari, ila naona usalama utakuwa mdogo sana hasa nchi za watu huko.
Nchi zipi unahofia usalama?
 
Sa
Kuna jamaa hapa anataka kufanya road trip nchi zote za SADC november mwakani.

Kutokana na ratiba alivyoisema inaweza mchukua almost 30 days.

Nimeitamani sana hiyo safari, ila naona usalama utakuwa mdogo sana hasa nchi za watu huko.
Sadc ina nchi ngapi? Ukitoka Dar to Jozi unaweza kupita nchi zote za Sadc ukitaka.
 
Back
Top Bottom