Nadhani sio Mozambique yote ni hatari, zipo parts zilizo salama. Same as Tz story za mipaka ya Kagera na mapori ya Kigoma sivyo ilivyo Mbeya, Tanga, Kilimanjaro, Arusha etcMozambique hatari.
Usiisahau hii plan mkuuUkiamua unapita ukiacha visiwa vya madagascar, seychelles na mauritius.
Ntakuletea plan yake badae kidogo. Anapita nchi zote za mainland.
Well. Asante kwa kunikumbusha.Usiisahau hii plan mkuu
He needs a brand new car or nearly new!Well. Asante kwa kunikumbusha.
Dar - Tunduma 917km
Tunduma - Likasi (DRC) 1039km
Likasi - Kinshasa 2163km
Kinshasa - Luanda 810km
Luanda - Lusaka 2271km
Lusaka - Harare 495km
Harare - Gaborone 1065km
Gaborone - Windhoek 1091km
Windhoek - Capetown 1479km
Cape Town - Gqeberha 751km
Gqberha - Bloemfontein 658km
Bloemfonein - Maseru 143km
Maseru - Durban 553km
Durban - J'burg 568km
J'burg - Pretoria 68km
Pretoria - Mbabane 334km
Mbabane - Maputo 218km
Maputo - Beira 1215km
Beira - Quelimane 482km
Quelimane - Lilongwe 725km
Lilongwe - Mbeya 733km
Mbeya - Songea 464km
Songea - Mtwara 653km
Mtwara - DSM 565km
Kutokana na google map anatembea almost 19,459 km.
Cc RRONDO
Yote ni mkeka ama kuna ambapo ni poda? Hivyo vipande vya DRC, road condition na safety miji ukatizayo? [emoji848]Well. Asante kwa kunikumbusha.
Dar - Tunduma 917km
Tunduma - Likasi (DRC) 1039km
Likasi - Kinshasa 2163km
Kinshasa - Luanda 810km
Luanda - Lusaka 2271km
Lusaka - Harare 495km
Harare - Gaborone 1065km
Gaborone - Windhoek 1091km
Windhoek - Capetown 1479km
Cape Town - Gqeberha 751km
Gqberha - Bloemfontein 658km
Bloemfonein - Maseru 143km
Maseru - Durban 553km
Durban - J'burg 568km
J'burg - Pretoria 68km
Pretoria - Mbabane 334km
Mbabane - Maputo 218km
Maputo - Beira 1215km
Beira - Quelimane 482km
Quelimane - Lilongwe 725km
Lilongwe - Mbeya 733km
Mbeya - Songea 464km
Songea - Mtwara 653km
Mtwara - DSM 565km
Kutokana na google map anatembea almost 19,459 km.
Cc RRONDO
Anafanya research hasa kuhusu usalama.Yote ni mkeka ama kuna ambapo ni poda? Hivyo vipande vya DRC, road condition na safety miji ukatizayo? [emoji848]
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
@Isanga familyAnafanya research hasa kuhusu usalama.
DRC, Angola na Mozambique ndo yupo concerned sana.
Hata mitandaoni wanasema vibaya kuhusu hizo nchi.
Labda madereva wa trucks waje watupe uzoefu wao na hizo nchi.
t blj
Okay. All in all ukiwa na perfect SUV kama zile cruisers wanazosuka jamaa wa Namibia wale, this is the experience worth going through.Anafanya research hasa kuhusu usalama.
DRC, Angola na Mozambique ndo yupo concerned sana.
Hata mitandaoni wanasema vibaya kuhusu hizo nchi.
Labda madereva wa trucks waje watupe uzoefu wao na hizo nchi.
t blj
Mozambique anaweza kupita nyamapanda boarder ya zimbabwe kupitia tete hadi mwanza boarder ya malawi ni salama kipande hicho na kifupi tu , some good 300kms. Ila akitaka kupita kuanzia maputo to mtwara hapo kuna shida .Mozambique hatari.
Well. Asante kwa kunikumbusha.
Dar - Tunduma 917km
Tunduma - Likasi (DRC) 1039km
Likasi - Kinshasa 2163km
Kinshasa - Luanda 810km
Luanda - Lusaka 2271km
Lusaka - Harare 495km
Harare - Gaborone 1065km
Gaborone - Windhoek 1091km
Windhoek - Capetown 1479km
Cape Town - Gqeberha 751km
Gqberha - Bloemfontein 658km
Bloemfonein - Maseru 143km
Maseru - Durban 553km
Durban - J'burg 568km
J'burg - Pretoria 68km
Pretoria - Mbabane 334km
Mbabane - Maputo 218km
Maputo - Beira 1215km
Beira - Quelimane 482km
Quelimane - Lilongwe 725km
Lilongwe - Mbeya 733km
Mbeya - Songea 464km
Songea - Mtwara 653km
Mtwara - DSM 565km
Kutokana na google map anatembea almost 19,459 km.
Cc RRONDO
Kongo sio salama hata kidogo , Access salama ya Angola ni kupitia Namibia , ukipita njia ya kongo utataabika maana kuna rough road za kutosha na zinapita misitu mikubwa yenye mvua muda mwingi ,mixer waasi , simshauri njia hiyo.Anafanya research hasa kuhusu usalama.
DRC, Angola na Mozambique ndo yupo concerned sana.
Hata mitandaoni wanasema vibaya kuhusu hizo nchi.
Labda madereva wa trucks waje watupe uzoefu wao na hizo nchi.
t blj
HaswaaaaOkay. All in all ukiwa na perfect SUV kama zile cruisers wanazosuka jamaa wa Namibia wale, this is the experience worth going through.
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Haswa Cabo DelgadoMozambique anaweza kupita nyamapanda boarder ya zimbabwe kupitia tete hadi mwanza boarder ya malawi ni salama kipande hicho na kifupi tu , some good 300kms. Ila akitaka kupita kuanzia maputo to mtwara hapo kuna shida .
HorrifyingKongo sio salama hata kidogo , Access salama ya Angola ni kupitia Namibia , ukipita njia ya kongo utataabika maana kuna rough road za kutosha na zinapita misitu mikubwa yenye mvua muda mwingi ,mixer waasi , simshauri njia hiyo.
Kuna sehemu niliwahi soma kuhusu ukatili wa askari wa kule.Mozambique anaweza kupita nyamapanda boarder ya zimbabwe kupitia tete hadi mwanza boarder ya malawi ni salama kipande hicho na kifupi tu , some good 300kms. Ila akitaka kupita kuanzia maputo to mtwara hapo kuna shida .
Yeye jamaa anataka kupita baadhi ya miji kwa madiba.Doh ila kuna route nyingine ni almost impossible au zitakuwa mzunguko
Mfano kwa nini atoke mbeya kwenda mtwara badala ya kunyoosha kuja dar ?
Kutoka bloemfontein kwenda maseru pia , hakuna haja ya kurudi hadi durban, unapandisha tu jorburg . Hakuna haja pia ya kwenda pretoria kama plan ni kwenda maputo , unakatisha tu pale pale jo burg some good 560 kms to boader
Big up kwa plan nzuri , but very expensive hobby kuzunguka sadc countries at once , itahitaji gari nzima nzuri , most probably iwe 4x4 hasa kwa njia za Kongo na Angola
Hivi Congo yenye waasi ni ya kule juu au hadi huku chini?Kongo sio salama hata kidogo , Access salama ya Angola ni kupitia Namibia , ukipita njia ya kongo utataabika maana kuna rough road za kutosha na zinapita misitu mikubwa yenye mvua muda mwingi ,mixer waasi , simshauri njia hiyo.
Naweza ona picha yake?Okay. All in all ukiwa na perfect SUV kama zile cruisers wanazosuka jamaa wa Namibia wale, this is the experience worth going through.
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Niambie kuhusu angola.Kongo sio salama hata kidogo , Access salama ya Angola ni kupitia Namibia , ukipita njia ya kongo utataabika maana kuna rough road za kutosha na zinapita misitu mikubwa yenye mvua muda mwingi ,mixer waasi , simshauri njia hiyo.
Waasi wapo chini huku kwenye silicon diamond na uranium, kule juu sijafika ila naambiwa kuna amani kidogoHivi Congo yenye waasi ni ya kule juu au hadi huku chini?