Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kwa mimi kwa safari ya zaidi ya km 200 napenda niwe na mtu mwingine hata kama hataendesha awepo tu.
 
Binafsi napenda kutembea peke angu.

Nitaenda hiyo safari akirudi salama na kunipa experience yake.
 
I second you
 
Plan
Dah upo vizuri mkuu, hakika usingizi lazima utakua ulikukomesha.
Hapo utakua ulikua unasikia nyuki muda wote.
Mimi sitaki stress na siku kama 4 za safari.
Day1: 450 KM
Day2: 380 KM
Day3: 600 KM
Day4: 450 KM
Reality
Day1 (Ijumaa): 830 KM, mob phycology ni mbaya sana.
Nimesimamishwa na police mara mbili, wa kwanza alitaka tu kusalimia (hakuomba leseni wala chochote), wa pili ni over speed (95 KM/H), hawa ni wadada niliwapamba wakaambulia maneno tu.
Fuzo
Kama umeamua kufuata mabango ya speed limit hakikisha unaanza kuongeza speed baada ya kulipita bango la kuruhusu na sio mita chache baada ya kuliona
 
Yange yange wasipokuwepo kawaida sana..
Pasaka ikiisha J4 nageuka mwendo mdundo
Yange yange.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28]
Wanaboa sana ila wanasaidia....miaka hii hatushuhudii ajali za mabasi za kutisha kama miaka ileeee ya kina Ngorika..
 
Yange yange.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28]
Wanaboa sana ila wanasaidia....miaka hii hatushuhudii ajali za mabasi za kutisha kama miaka ileeee ya kina Ngorika..
Ngorika!
lile dude halikuwahi kupata ajali asee, mwendo mdundo Dar -Ara 6hrs limemaliza mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…