natamani niondoke usiku wa jumamosi nirudi usiku wa jumapiliDuh na mimi nitakucheki
Hizi mashine na 2/3/4GR wamezikatili sana...dakika moja tu umemaliza huna cha kufanya!Nimekubali mkuu. Tuta 2 tu karibu ya Nzega mjini, hakuna shimo wala hatari yoyote.
Hapa mshale umelala hauna tena pa kwenda, ishagonga limiter at 180kmph ila barabara bado inaita, nipo kama halfway kati ya Tabora na Nzega.
Sometime namlaani mjapani ila sometime namshukuru kwa kutulimit, its bittersweet
View attachment 1771284
🤣🤣🤣 eti mwaisa..basta..Hahaha sema uliposepa tuligundua tofauti yako na Tupac ni kuimba tu 😂😂😂 akina mwaisa wanakukubali sana braza!!!
Kunae mrembo anama feeling kinyama ila ndio vile tena anagwaya kujipeleka kibla. Huko alipo atakuwa anapiga Pepsi Bigi kukuona umekomenti hapa😂
Leo dogo sedan nimemfanyisha kazi za wakubwa SUVNikiingia barabara ya vumbi nakosa amani kabisa. Sedan Raha kwenye lami tu
😊😊🧚♀️🧚♀️🥂🥂I'm happy to hear that....
Mkuu upo?
Yeah hapa nikirudi mjini lazima niseme na fundi na wauza spea kwa herufi kubwaMatokeo utayapata baadae....
Walimkosa nyumbani wakaja kumtafuta huku barabarani [emoji23][emoji23][emoji23]Mzee ulikua unauliziwa mpaka lengo la uzi likataka kubadilika.. Watu wanakukubali sana
Hadi kuna jamaa akasema watu wapeleke mapenzi Chit Chat.. Ha ha ha ha
Mzee ulikua unauliziwa mpaka lengo la uzi likataka kubadilika.. Watu wanakukubali sana
Hadi kuna jamaa akasema watu wapeleke mapenzi Chit Chat.. Ha ha ha h
Mkuu JF tunaishi kama ndugu na kwa upendo ndio maana unaona mtu akipotea ndugu zake wanaulizia kujua usalama wake. Kusema ukweli nimefarijika sana sana kuona upendo walioonesha kwangu. Ingawa hatufahamiani physically kuna connection we can't deny.Mzee ulikua unauliziwa mpaka lengo la uzi likataka kubadilika.. Watu wanakukubali sana
Hadi kuna jamaa akasema watu wapeleke mapenzi Chit Chat.. Ha ha ha ha
Sana aisehMzee ulikua unauliziwa mpaka lengo la uzi likataka kubadilika.. Watu wanakukubali sana
Hadi kuna jamaa akasema watu wapeleke mapenzi Chit Chat.. Ha ha ha ha
Mkuu JF tunaishi kama ndugu na kwa upendo ndio maana unaona mtu akipotea ndugu zake wanaulizia kujua usalama wake. Kusema ukweli nimefarijika sana sana kuona upendo walioonesha kwangu. Ingawa hatufahamiani physically kuna connection we can't deny.