Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimekubali mkuu. Tuta 2 tu karibu ya Nzega mjini, hakuna shimo wala hatari yoyote.

Hapa mshale umelala hauna tena pa kwenda, ishagonga limiter at 180kmph ila barabara bado inaita, nipo kama halfway kati ya Tabora na Nzega.

Sometime namlaani mjapani ila sometime namshukuru kwa kutulimit, its bittersweet

View attachment 1771284
Hizi mashine na 2/3/4GR wamezikatili sana...dakika moja tu umemaliza huna cha kufanya!
 
Hahaha sema uliposepa tuligundua tofauti yako na Tupac ni kuimba tu 😂😂😂 akina mwaisa wanakukubali sana braza!!!

Kunae mrembo anama feeling kinyama ila ndio vile tena anagwaya kujipeleka kibla. Huko alipo atakuwa anapiga Pepsi Bigi kukuona umekomenti hapa😂
🤣🤣🤣 eti mwaisa..basta..
 
Mzee ulikua unauliziwa mpaka lengo la uzi likataka kubadilika.. Watu wanakukubali sana

Hadi kuna jamaa akasema watu wapeleke mapenzi Chit Chat.. Ha ha ha h

Mzee ulikua unauliziwa mpaka lengo la uzi likataka kubadilika.. Watu wanakukubali sana

Hadi kuna jamaa akasema watu wapeleke mapenzi Chit Chat.. Ha ha ha ha
Mkuu JF tunaishi kama ndugu na kwa upendo ndio maana unaona mtu akipotea ndugu zake wanaulizia kujua usalama wake. Kusema ukweli nimefarijika sana sana kuona upendo walioonesha kwangu. Ingawa hatufahamiani physically kuna connection we can't deny.
 
Sure, ni kweli aisee.. Big up Bro.. Inabidi na sisi vijana tuige formula zako.

By the way trip ziendelee...
 
Back
Top Bottom