Tibalikwenda
JF-Expert Member
- Aug 27, 2020
- 284
- 604
Hiyo imetokea ushilombo geita gari la tanesko Hilux double c. Ilijichomeka mazima kwenye body la semi trellar usiku lilikua limeharibika watu wote 6 walikufa hatar sana kua speed usikuHapo hujakuta Lori limekufa halina reflector
Pabaya pabaya naona kuanzia hungumalwa.. japo sehemu sehemu wamejitahidi piga viraka..Kipande cha kutoka SHY to Mwanza, mkeka upo vizuri?
Nilipita usiku mwaka jana hiyo njia. Kuna mashimo ya hatari katikati mwa road. Nilijuta kupita hiyo njia. Nilifika Mwanza nasonya sana na kuwatukana Tanroad matusi yote!!
SA cheap hiziMwenye hii kitu anauza bei ya kibonge anicheki wakuu.
Naipenda kwa roho yangu yoteView attachment 1655193
Nilikula kuku na mbuzi.. safii. Pale huwa kila nikiwa napita hiyo njia lazima nipige kuku na mbuzi.. au wakati mwingine napitiliza hadi kwa shangazi Misigiri 😄😄Hako ka joint kako poa sana
Bei gani mkuuSA cheap hizi
Kuna mwana alinionesha kama hiyo ikiwa bado kabisa ilokuwa ni $ 13,000Bei gani mkuu
Huko Lushoto nitapatafuta, si unapandia hapo Mombo?Mambo view eco lodge.
Not super fancy but very traditional. Angalia Google map, call for reservations and ask for a discount. Kuna rooms with the view of the valley.
Wahudumu wanaweza kukutafutia kuku wa kienyeji wakakutengenezea.
Online au?Kuna mwana alinionesha kama hiyo ikiwa bado kabisa ilokuwa ni $ 13,000
Wazee wa night drive 😂😂😂 hakikisha beams zako za taa zinaproject 30 metres ahead clearly. Usije ukajiwahisha ahera kabla hujazifikia ndafu Moshi ama Arusha.Na ndicho haswaa ninacho kwepa. Huwa natumia mda mfupi sana kufika ninapo enda..
Aaah! Taa ni kwi kwi.. na ndio maana huwa na ujasiri wa kutembea usikuWazee wa night drive 😂😂😂 hakikisha beams zako za taa zinaproject 30 metres ahead clearly. Usije ukajiwahisha ahera kabla hujazifikia ndafu Moshi ama Arusha.
SA si unasogea tu hapo mkuu mwenyewe unachukua.. ingawa waweza tumia agent ila nzuri uende mwenyeweOnline au?
30M ukiwa unatembea hata 80kph huwezi jiokoa.Wazee wa night drive [emoji23][emoji23][emoji23] hakikisha beams zako za taa zinaproject 30 metres ahead clearly. Usije ukajiwahisha ahera kabla hujazifikia ndafu Moshi ama Arusha.
Hata mimi nimeshangaa. 30M?????30M ukiwa unatembea hata 80kph huwezi jiokoa.
Unahitaji atleast 100M ya beams na usizidi 100kph.
Ukipata majanga unajiokoa fasta.
Halafu DVA imeshaisha, now iko DVB niliiona ijumaa.DVA ziko 900 sasa hivi could be anything from VX to Passo
Ndio nyeusi mkuu😂😂😂Ha ha ha ha DVA watapata tabu sana....honi kama zote! Vanguard nyeusi?!!