Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kipande cha kutoka SHY to Mwanza, mkeka upo vizuri?

Nilipita usiku mwaka jana hiyo njia. Kuna mashimo ya hatari katikati mwa road. Nilijuta kupita hiyo njia. Nilifika Mwanza nasonya sana na kuwatukana Tanroad matusi yote!!
Pabaya pabaya naona kuanzia hungumalwa.. japo sehemu sehemu wamejitahidi piga viraka..
 
Mambo view eco lodge.
Not super fancy but very traditional. Angalia Google map, call for reservations and ask for a discount. Kuna rooms with the view of the valley.

Wahudumu wanaweza kukutafutia kuku wa kienyeji wakakutengenezea.
Huko Lushoto nitapatafuta, si unapandia hapo Mombo?
ni hao kuku wakienyeji nawatafuta nitawaomba wahudumu waniletee ntatengeneza mwenyewe, Utalii wa ndani mwaka huu ni huko Lushoto
 
Wazee wa night drive [emoji23][emoji23][emoji23] hakikisha beams zako za taa zinaproject 30 metres ahead clearly. Usije ukajiwahisha ahera kabla hujazifikia ndafu Moshi ama Arusha.
30M ukiwa unatembea hata 80kph huwezi jiokoa.

Unahitaji atleast 100M ya beams na usizidi 100kph.

Ukipata majanga unajiokoa fasta.
 
Back
Top Bottom