Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nje ya mada

Kuna uzi fulani ulianzishwa unauliza eti kwanini popo huwa ananing'ing'inia kichwa chini miguu juu huwa anaonaje vile! Kuna mmoja akajibu eti kama ambavyo wewe unamshangaa anaonaje akiwa kichwa chini miguu juu ndivyo na yeye anakushangaa unaonaje ukiwa hivyo aise nilicheka sasa ulivyomuambia hivyo ndiyo nikakumbuka hii comment!
 
Duh mkuu kuna gari dereva anainjoi zaidi ya abiria. Pia driving ni hobby, kwenye road trip starehe yangu ya kwanza ni kuendesha,kusikia v6 au v8 power roars ni raha sana....nikizeeka nitamwachia dereva [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah hapo kwenye V6 au V8 power hapo acha kabisa! Hamna mlio wa gari ninaouhusudu kama unaotoka kwa hizo engines!
 
Oohh sawa sawa mkuu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hata mimi nilikuwa mgumu sana kuchongesha miwani,,ila niliitafuta mwenyewe.

"Unaingia darasani Mwalimu anatiririka tu ubaoni,unasikia tu"hii inakuja hivi"hapo wenzio wanatikisa vichwa kuitikia,wewe unabana macho ili uone na kuona huwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh hadi nakuonea wivu! Sipendi kukaa mkoa mmoja kwa muda mrefu aisee!
 
[emoji38]

Nje ya mada:
Kuna dada miwani yangu ishamdondosha, alikuwa anaona vitu vinapanda na kushuka .
Amechukua akapigie picha,mimi nilimwambia hawezi kuvaa,akabisha.

Alivyorudi akanishangaa eti naonaje na nawezaje kutembea!
Wakati huo na mimi namshangaa imemdondoshaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu yupo radhi anunue gari bovu mfano rav 4 na mba D kwa bei fulani, na akaacha kununu rav 4 hiyo hiyo namba B lakini nzima kwa bei ile ile..

Hii ndiyo Tz..[emoji119][emoji119]
Hahaha nikakumbuka ile comment yako iko juu kule sijui namba ngapi! Eti "unakutana na Porte namba E jamaa kapiga miwani meusi, kakata kishoka, ndevu kaziachia kama brush hapo wenye namba D kushuka chini wote anawaona washamba tu" aisee nilicheka sana maana nilijikuta kichwani natengeneza picha ya aina ya huyo jamaa uliyemuelezea halafu yuko ndani ya Porte daah!

Bongo sijui kwanini wanahusudu namba mpya! Wakati kuna gari kama LC 70 series namba A ziko vizuri na zinapiga kazi kuliko hata baadhi ya hizi namba D!
 
Hatari sana, Usiku hamuoti barabara kweli????
Kuna siku mida ya saa 9 nlilipaki nyuma ya tanker la mafuta pale Kibaigwa nikajilaza nipunguze usingizi.

Ndoto ikaja niko kibati halafu kuna kuna kicheche cha tanker la mafuta naenda kukivagaa. Kukurupuka usingizini na kufungua macho naona lori lilelile nililoliota liko mbele yangu sasa live. Panic yake mzee, mpaka kuja kugundua nilikuwa naota nimeshateseka sana.

Nikalaza vizuri kiti nikaendelea kulala. [emoji23]
 
Aise lini hiyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…