Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Daah kweli aisee mchana tochi nyingi! Ila nakumbuka kuna siku tuliwahi piga road trip ya usiku Kyela - Dar tulitoka Kyela saa 12 jioni saa 12 asubuhi tuko Mbezi so tulitumia masaa kama 12 hivi!

Nakumbuka Kitonga tulipita saa 6 za usiku! Ila tulikuwa na Voxy!
 
Mbeya nimepiga sn trip nilishatoka dom saa 12 jion saa 7 ucku nipo mby afu nkaunga mpk chunya.pale town kituo ni savoy g house mafiat mwendo wa [emoji200][emoji482]
Karibuni tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilitoka Dodoma saa 2 usiku saa 9 tukaingia Mwanza, moja kwa moja the cask. Na palikuwa pamewaka vibaya mno.
 
ofcourse ni kwa ajili ya kurefresh na kuexplore new opportunities
kwenye biashara nakutana na watu wa nje ya TZ wanadai sisi ni waoga sana kusaka fursa nje ya Tanzania
 
Mombasa ni karibu sana. Muda wa lunch anakuwa kashafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…